NECTA YATOA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017 KWA UNDANI ZAIDI SOMA HAPA

By Full Shangwe Blog, 8w ago

  Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kwa mwaka 2017. Kwa mwaka 2017 ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 2.4 kutoka mwaka 2016, idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani ni 909,950 na wanafunzi 662,035 wamefaulu. Kusoma matokeo yote ya darasa la saba fungua hapa.

ZINAZOENDANA

TBA Yaanza Ukarabati wa Kuziba Nyufa za Mabweni ya UDSM

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umeanza ukarabati wa mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ...

Mwalimu kortini kwa kubaka 9

5h ago

MWALIMU wa Shule ya msingi, Itiryo tarafa ya Ingwe wilayani Tarime mkoani Mara, Samwel Mariba Daniel ...

DC MUFINDI: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA UTASAIDIA KUTOKOMEZA RUSHWA KWENYE OFISI ZA UMMA NCHINI

8h ago

Na Afisa Habari MufindiMkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Jamhuri William amesema, endapo Ofisi za Umma h...

MAKAMU WA CHUO CHA IJA ASHINDA KUKU LUSHOTO KATIKA BONANZA

16h ago

Nazael Mkumbo Mshindi wa kukuMakamu Mkuu wa Chuo cha uongozi wa mahakama IJA, Fahamu Mutlya mwishoni ...

SportPesa kuidhamini michuano ya SportPesa TUSA Games 2017 (Video)

20h ago

Kampuni ya Kubashiri Michezo ya SportPesa imeingia makubaliano ya kuyadhamini mashindano ya wanafunzi...

Zaidi ya Wanafunzi 9000 Wakosa Nafasi za Kuingia Kidato cha Kwanza Mwaka 2018

22h ago

Zaidi ya wanafunzi 9000 waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mkoani Katavi wamekosa nafasi ...

SportPesa yadhamini Mashindano ya Michezo ya Wanafunzi Vyuo Vikuu

22h ago

Kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa Limited imeingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya mic...

Wanafunzi 24 wapata udhamini wa masomo UDSM

24h ago

Ni walioshinda shindano la udhamini wa masomo.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek