Maneno ya Lema baada ya Mwenyekiti wa BAVICHA Kuhamia CCM

By Edwin Moshi, 22w ago

Saa chache baada ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kujiunga na CCM hii leo, Mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA) Godbless Lema ametoa ya moyoni kupitia ukurasa wake wa twitter, angalia hapo chini alichokisemaNimepokea taarifa kuwa muda sio mrefu , Mkti wetu vijana Taifa Patrobas Katambi atajiunga na ccm leo Ikulu Dar es salaam , pamoja na Wakili mmoja kutoka Kanda ya Kaskazini.— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) November 21, 2017

ZINAZOENDANA

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI??

5h ago

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI?? Hafidh Ally Katika ki...

Suala la Tsh. Trilioni 1.5 Professor Jay alipeleka kwa Mhe. Shonza

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule 'Professor Jay' amehoji sababu ya Chama cha Mapinduzi (CC...

Utabiri hali ya upinzani 2020

11h ago

Kuna madai kuwa Tanzania itaingia katika Uchaguzi Mkuu ujao ikiwa na ushindani dhaifu wa upinzani dhi...

UVCCM YACHAMBUA UTENDAJI WA DK. SHEIN

11h ago

Na Mwandishi Wetu-Zanzibar UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umechambua utendaji kazi w...

Mfahamu Siyani, jaji kijana aliyetajwa na Rais Magufuli

12h ago

Jaji Mustapher Siyani ni miongoni mwa majaji 10 walioteuliwa na Rais John Magufuli Aprili 15 na kuapi...

Rais Dkt Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPB

15h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mn...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek