Makala: Mudathir Yahya anapotupa maana ya mchezaji wa mkopo

By Dar24, 11w ago

Na Abdul Mkeyenge NIMEITAZAMA Singida United. Nimeitazama Taifa Stars na sasa naitazama Zanzibar Heroes kule Kenya, kote huko namuona kijana mmoja wa kuitwa Mudathir Yahya akifanya kazi ya kiume katikati mwa uwanja. Mudathir anapokuwa katika ubora huu, ni ngumu kumzima. Aliwahi kuniambia moja ya rafiki zangu ambaye kesho anakutana uso kwa uso na Mudathir katika […]

ZINAZOENDANA

La Prof. Kabudi, Zanzibar na mtego wa Komba

KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanampa sifa nyengine, nayo ni ya ujasiri. Anaandi...

Mawaziri kujibu hoja za kamati za Bunge

4h ago

MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wametakiwa kujitayarisha na kujibu hoja za ripoti za ka...

Michango marufuku shuleni Zanzibar

4h ago

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imepiga marufuku walimu kuchangisha michango ya aina yoyote ...

Wasimamizi wa sheria waagizwa kuacha utashi na kuweka uzalendo mbele wanapotekeleza majukumu yao

5h ago

Na Miza Kona, Maelezo  Wasimamizi wa sheria wa Ulinzi na Usalama wametakiwa kuacha utashi n...

Hatua iliyo fika SMZ tatizo la usafiri Pemba kwenda Tanga

8h ago

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inaendelea na jitihada za kulipatia Ufumbuzi tatizo la ukos...

Ikulu yawaambia wandishi wa habari Pemba '€œwaonesheni njia wengine wapite kufikia ndoto zao'€

9h ago

February 22, 2018 NA MWANDISHI WETU, PEMBA WAANDISHI wa habari kisiwani Pemba, wametakiwa kuionyesha ...

Makamu Mwenyekiti wa UWT Thuwaiba Kisasa Akiwa Ziarani Kutembelea Afisi za Jumuiya.

10h ago

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek