Waziri Awaonya Tanesco Mgawo wa Umeme

By Udaku Specially, 11w ago

NAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), kuweka utaratibu wa kutoa taarifa wanapokata umeme ili kuondoa minong’ono kuwa nchi imeingia kwenye mgawo.Alitoa agizo hilo wakati alipotembelea kituo cha kufua umeme cha Mtera.Alisema Watanzania wengi kilio chao ni taarifa, mwananchi wa kawaida akiona umeme umekatika anajua ni mgawo, lakini wanatakiwa kufahamu umeme unakatika kutokana na matengenezo na marekebisho mbalimbali.“Pamoja na jitihada kubwa zinazofanyika katika matengenezo na kurekebisha miundombinu mbalimbali, Watanzania hoja yao n...

ZINAZOENDANA

Tanesco yadai mashirika ya serikali bil.297/-

11h ago

WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema Shirika la Umeme nchini (Tanesco) linayadai mashirika y...

Dk Kalemani: Madeni taasisi za umma yanaikwaza Tanesco

2d ago

Dk Kalemani alitolea mfano wa mamlaka ya maji Kahama na Shinyanga ambayo inadaiwa Sh 2.2 bilioni amba...

Barabara ya Ole -Kengeja kukamilika 2020

2d ago

February 17, 2018 Imeandikwa na Haji Nassor WANANCHI wanaotumia barabara ya Ole- Kengeja yenye urefu ...

Ndikumana Amkumbuka Uwoya

MANYUNYU ya mvua yanaulowesha mwili wangu, baridi kali inapenya vilivyo kwani sikuwa na koti. Eneo ni...

Wananchi Watakiwa Kuchukua Tahadhari Dhidi Ya Mvua Za Wastani Na Za Masika

3d ago

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema mwanzoni mwa mwezi machi hadi mei mwaka huu, mvua za was...

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya mvua za wastani na za masika

4d ago

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema mwanzoni mwa mwezi machi hadi mei mwaka huu, mvua za was...

Amber Lulu Aoga Matusi

MUUZA nyago machachari kwenye video mbalimbali za wanamuziki Bongo, Lulu Eugen 'Amber Lulu'€...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek