Jeshi la polisi lampotezea bilionea Dkt. Shika, Latoa sababu za kumsamehe

By Bongo 5, 11w ago

Jeshi la Polisi limetangaza kuachana na Bilionea mtata, Dkt. Louis Shika, ambaye alifika bei ya kununua majengo ya mfanyabiashara Said Lugumi. Akithibitisha taarifa hizo, Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kesi waliyomfungulia Dkt. Shika ya kuharibu mnada hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba za Lugumi alizoahidi kuzinunua zote zipo […]

ZINAZOENDANA

Makonda: Tuache kunyosheana vidole dhidi ya Kifo cha Akwilina

5h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaomba wananchi wa Dar es salaam kuwa watulivu kipindi...

Polisi wakana, wadai wao hawahusiki kabisa

6h ago

Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limekana kumkamata mwandishi wa habari Emmanuel Kibiki ambaye anadaiwa...

Mabango Yatawala Kwenye Msiba wa Akwilina

7h ago

Baadhi ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (...

Mabango Yatawala Kuaga Mwili wa Akwilina......Yakitaka Sirro, Mwigulu Kujiuzulu

Baadhi ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (...

Jeshi la Polisi lakana kumkamata mwandishi wa habari

11h ago

Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limekana kumkamata mwandishi wa habari Emmanuel Kibiki ambaye anadaiwa...

Dkt.Shein alitaka Jeshi la Polisi kuweka ulinzi imara ili kuimarisha zaidi uchumi wa Zanzibar

11h ago

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja k...

KAMISHANA MPYA WA POLISI ZANZIBAR AJITAMBULISHA KWA RAIS

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana n...

Baadhi ya mabango kwenye msimba wa Akwilina Akwlini yakiwashinikiza Mwigulu Nchemba na IGP Sirro Wajiuzulu

11h ago

Baadhi ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek