Kigogo wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Afungwa Miaka 15 Jela Kwa Kuiba SMG 8 za Mwajili Wake

By Udaku Specially, 2w ago

Aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkoa wa Tabora, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Bhoke Bruno na wenzake saba jana Jumatano walihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kuiba bunduki nane aina ya SMG, mali ya mwajiri wao.Wengine waliohukumiwa kifungo katika hukumu iliyosomwa na Kaimu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Sharmira Sarwatt ni Koplo Idd Abdalah, PC Mwinyi Gonga na Said Mgonela, wote kutoka kikosi cha FFU Tabora.Kwa pamoja, waliokuwa waajiriwa hao wa jeshi la polisi kwa pamoja walitiwa hatiani kwa makosa matatu ya kula njama, kuiba na kushindwa ku...

ZINAZOENDANA

Msafara wa IGP Sirro Wasimamishwa

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema Jeshi lake limeongeza nguvu ya ziada ya kupamb...

Mahakama kuu yaagiza Polisi kumlipa msichana wa shule milioni 4 kwa kumdhalilisha

4h ago

Mahakama kuu ya Kenya imeliagiza jeshi la polisi nchini humo kumlipa fidia ya shilingi milioni 4 za K...

Tundu Lissu Afunguka Makubwa na Kumjibu Job Ndugai

14h ago

Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kumjibu Spika wa Bunge, Job Ndugai k...

Tundu Lissu amjibu Job Ndugai

1d ago

Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kumjibu Spika wa Bunge, Job Ndugai k...

Tundu Lissu amjibu spika Job Ndugai

1d ago

Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kumjibu Spika wa Bunge, Job Ndugai k...

Kijana Aliyepotea Makete yabainika aliuawa na kuzikwa miaka 3 iliyopita, Kaburi lafukuliwa

1d ago

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Kijana Nione Tweve aliyepotea Zaidi ya miaka mitatu iliyopita katika...

POLISI TAZARA WATOA ONYO KWA WAHALIFU

3d ago

Na. Jeshi la Polisi.Jeshi la Polisi nchini limewaonya badhi ya watumishi wasio waaminifu wanaofanya k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek