Roma Aogopa Kujitabiria Kifo Baada ya Kuandika Mengi na Kutokea Kweli

By Udaku Specially, 24w ago

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Roma amesema kutokana na mambo mengi anayoandika katika ngoma zake kutokea kweli muda mwingine hufikia hatua ya kuhofia.Rapper huyo katika mahojiano na The Playlist, Times Fm amesema baadhi ya matukio kama Rais. John Magufuli kukalia madaraka hayo ni moja ya vitu alivyoandika toka miaka nyuma na kutokea kweli.“Kuna muda mwenyewe nakaa napitia mistari yangu najitafakari naona mmmh! eeh Mungu vingine ambavyo nimeviandika visije vikatokea kweli, nisije nikaandika nafa kesho halafu walete” amesema.“Roma kasema anaenda Zimbabwe lakini kitu kilichotokea Zimba...

ZINAZOENDANA

'€œSijaongea na familia ya Masogange'€ - Belle 9

58m ago

Msanii wa muziki nchini Abelnego Damian, maarufu kama Belle 9, amesema kuwa bado hajaongea na familia...

Jibu la Belle 9 iwapo ndoa inamkwamisha kimuziki

15h ago

Msanii wa muziki Bongo, Bell 9 amefunguka iwapo kufunga kwake ndoa kuna mkwamisha kivyovyote katika m...

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS SHEIN IKULU DAR

Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyek...

Nikikutana na Rais Magufuli nitamwambia afunge mitandao ya kijamii Tanzania - Steve Nyerere

17h ago

Msanii wa filamu Steve Nyerere amedai anatamani kukutana na Rais Magufuli ili amshauri azime data, il...

Muziki sio vita, ukiufanya vita lazima ufeli - Mr. T Touch

17h ago

Producer wa muziki Bongo, Mr. T Touch amesema yeyote anayefanya muziki kama vita ni lazima atafeli.Ka...

Rais Magufuli akutana na Shein, Mangula Ikulu

17h ago

Ni kikao kilichofanyika Ikulu leo baina ya viongozi hao wa kitaifa na kichama.

Tekno Miles na Mwimbaji Lalo Rae wapata mtoto

18h ago

Inawezekana kabisa Mtayarishaji na Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria, Augustine Miles Kelechi R...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek