Waziri Atoa Siku 30 kwa Familia 59 Zilizo Ndani ya Eneo la Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Kuondolewa

By Udaku Specially, 1w ago

 Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye ametoa siku 30 kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Taa) kuziondoa familia 59 zilizo ndani ya eneo la Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA).Pia, ameitaka Taa kuhakikisha hatimiliki za ardhi za kampuni ya Puma Energy na Tanzanair zinafutwa kwa sababu ziko ndani ya uwanja huo ambao nao una hatimiliki yake.Akizungumza na vyombo vya habari baada ya kutembelea kampuni hizo, Nditiye alisema haiwezekani kukawa na watu wengine wanaomiliki ardhi katikati ya uwanja huo na wana hatimiliki.Pia, aliitaka mamlaka hiyo kuwaondo...

ZINAZOENDANA

Mkurugenzi mkuu wa NHC ndio Basi tena, Atumbuliwa leo

3h ago

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi amemsimamisha  kazi Mkurugenzi Mkuu...

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu Asimamishwa Kazi

6h ago

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi amemsimamisha  kazi Mkurugenzi Mkuu...

Breakings: Lukuvi Amtumbua Mkurugenzi Mkuu NHC, Nehemia Mchechu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kusimamishwa kazi Mkurugenzi ...

LUKUVI AMALIZA MGOGORO WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 10

10h ago

Na MWANDISHI WETU -DODOMA WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amefuta uam...

Mawaziri hawa kiboko

14h ago

Mawaziri hao ni Ummy Mwalimu (Afya), Angella Kairuki alipokuwa Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Uta...

Mauzo ya ‘kifisadi’ ya ardhi ekari 1,756 yafutwa

16h ago

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amefuta uamuzi wa viongozi wa vijiji v...

MAVUNDE AWATAKA VIJANA WASOMI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI KATIKA KUPAMBANA NA RUSHWA

17h ago

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde amewataka vijana wasom...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek