Wolper Awahalika Harmonize na Mpenzi Wake Sara Kwenye Sherehe ya Siku Yake ya Kuzaliwa

By Udaku Specially, 10w ago

Muigizaji wa filamu Bongo ambaye kwa sasa ni mbunifu wa mavazi Jacqueline Wolper amekiri kutokuwa na wivu na aliyekuwa mpenzi wake (ex-boyfriend) wake ambaye ni mwanamuziki kutoka kundi la WCB Harmonize na Kuwakaribisha katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.Katika kuelekea birthday part ya wolper itakayofanyika leo decemba 7 ameamua kuudhihirishia umma kuwa hana wizu na wa kimapenzi na mpenzi wake wa zamani  ameamua kumualika harmonize pamoja na Sara katika part hiyo.Wolper aliongeza kuwa amemtaka Sara kuwa rafiki yake na kumsaidia kumpa siri na nyendo za kuchepuka Harmonize

ZINAZOENDANA

Wanasiasa, wanamichezo, waigizaji wamlilia binti aliyepigwa risasi

20h ago

Baada ya taarifa kuzagaa kuwa binti mmoja amefariki dunia kwa kupigwa na risasi na polisi wakati waki...

Rayvan Aweka Wazi Mkwanja Wa WCB Wanaolipwa na Diamond

MSANII anayefanya poa kutoka Crew ya Wasafi Classic Baby 'WCB', Rayvan ametumia muda wak...

Rayvanny afunguka mkwanja amabao Diamond anawalipa WCB

2d ago

Msanii anayefanya poa kutoka Crew ya Wasafi Classic Baby 'WCB', Rayvanny ametumia muda w...

LIVE: Rayvanny Aanika Mkwanja Ambao Diamond Anawalipa WCB

MSANII anayefanya poa kutoka Crew ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Rayvanny ametumia muda wa...

Wolper Atoboa Siri za Wakongo

Msanii wa kike bongo Jackline Wolper ambae kwa sasa pia amejikita katika ujasirimali wa mavazi amefun...

Diamond Kuipeleka Wcb Nje ya Tanzania.

Inavyosemekana kuwa Wcb ndio lebo kubwa nchini na nje ya nchi kwa ukubwa na kudumu katika industry ya...

Diamond Kuipeleka Wcb Nje ya Tanzania.

Inavyosemekana kuwa Wcb ndio lebo kubwa nchini na nje ya nchi kwa ukubwa na kudumu katika industry ya...

Wolper Atoboa Hii Kuhusu Wanaume wa Kikongo

MUIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Jaqueline Wolper 'Jack' anasema kuwa amewashitukia wan...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek