Mr Nice Amruka Young Dee " Sijawahi Kumruhusu Binadamu Yoyote Kutumia Kazi Zangu Bila Makubaliano"

By Udaku Specially, 1w ago

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva kwenye miondoko ya TAKEU, Mr. Nice, amesema hamjui msanii Young D ambaye ametumia wimbo wake, na kwamba hakubaliani na kitendo cha yeye kutumia kazi yake.Akizungumza na mwandishi wa East Africa Teolevision, Mr. Nice amesema licha ya kutoruhusu mtu yeyote kutumia kazi zake, hajapata taarifa kutoka kwa Young D wala uongozi wake, na hajawahi kumjua kwenye maisha yake."Sijawahi kuongea wala kuruhusu binadamu yoyote kutumia kazi yangu yoyote bila makubaliano na ridhaa yangu mwenyewe iwe ni kwa kuniheshimu ama kunidhihaki, so far simjui huyo Young D at all , n...

ZINAZOENDANA

Weledi na ubora wa kazi ndio msingi mzuri wa kupata Soko la Sanaa;Dkt.Mwakyembe.

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa hafla ya u...

VideoMPYA: Ferooz anakukaribisha kuitazama hii “Najaribu”

6h ago

Msanii mkongwe kwenye game ya Bongo Fleva Ferooz ameamua kuja na video mpya ya “Najaribu”...

Benja Musiq azungumzia uwezo wake zaidi ya kuwa Mwimbaji wa Injili

6h ago

Msanii wa muziki wa Injili aliyefanya vyema na ‘Penzi lako’ kutoka Kenya, Benja Musiq ame...

Diamond Platnumz amtaja French Montanna kwenye kolabo ya Jason Derulo na Rayvanny

7h ago

Mapema tarehe 16 mwezi Disemba, 2017, Staa wa ngoma ya ‘Kwetu’ kutoka lebo ya muziki ya W...

MWENYE DAFTARI LA NYIMBO ZA YAMOTO BAND ANATAMBA

10h ago

INAWEZEKANA ni aina tu ya utani niliousikia katika onesho mojawapo la ‘stand up comedy’ nililohud...

Rayvanny Afunguka Kinachokwammisha Kolabo Yake na Derulo

10h ago

Msanii wa muziki Bongo, Rayvanny amefunguka kinachokwamisha kolabo yake na Jason Derulo.Muimbaji huyo...

TWENDE KIMATAIFA LAKINI TUSISAHAU NEMBO YETU

10h ago

NI jambo la faraja kuona kwamba wakati tunaelekea ukingoni mwa mwaka huu wa 2017, kuna mafanikio maku...

MAX BURUDANI IMEBEBA MATUMAINI MAPYA YA WASANII

10h ago

NA CHRISTOPHER MSEKENA WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, juzi al...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek