Ujumbe Huu wa Diamond Kwa Mwanae Hatari Tupu...Kua Uje Kuwatembezea Jukumu Lako ni Kupita Nao Tu

By Udaku Specially, 11w ago

Siku ya jana mtoto wa pili wa msanii Diamond, Nillan alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa baada ya kutimiza umri wa mwaka mmoja.Katika kumtakia kheri ya siku hiyo muhimu kabisa maishani mwake, Diamond ameandika ujumbe wa ambao watu wengi wameshangazwa nao. Kupitia ukurasa wake wake Instagram Diamond ameandika;Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba… We swala la Kutafta ela niachie mie… Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao

ZINAZOENDANA

Makala: Vanessa katuonyesha kitu, vipi kuhusu Diamond na Wakazi

13h ago

Nyumbani kwao anatambulika kama Vanessa Mdee, pia Bongo Flava inamtambua kwa jina hilo na kuongezea l...

Hii Ndiyo Michepuko Iliyosababisha Diamond Kutoswa na Zari

17h ago

Habari za Diamond na Zari kuachana bado zinatawala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakiwa wames...

 MAMBO 7 YALIYOMNG'OA ZARI KWA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Mwanamama mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan 'Zari The Boss...

Hii ndiyo 'michepuko' iliyosababisha Diamond kutoswa na Zari

1d ago

Habari za Diamond na Zari kuachana bado zinatawala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakiwa wames...

Zari Amlipua Diamond.....'€œUtakoma tu mwenzangu'€

2d ago

Ikiwa leo ni siku ya tatu toka Zari atangaze rasmi kuachana na mzazi mwenzake Diamond Platnumz kupiti...

Zari atupa kijembe kwa Diamond, 'Utakoma tu'

2d ago

Mambo bado ni mazito kwa ile couple iliyokuwa na nguvu mjini, Diamond na Zari. Baada ya Zari kutangaz...

MAGAZETI FEBR 17: MAMBO 7 YALIYOMNG'OA ZARI KWA DIAMOND (Video)

 The post MAGAZETI FEBR 17: MAMBO 7 YALIYOMNG’OA ZARI KWA DIAMOND (Video) appeared first ...

Maamuzi ya Zari yanavyodaiwa Kumtesa Diamond Platnumz

Leo February 16,2018 Diamond Platnumz ameonekana kuonyesha hisia zake juu ya maamuzi  ya Zari ku...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek