Puvu la Nuh Mziwanda Baada ya Shilole Kufunga Ndoa na Uchebe

By Udaku Specially, 11w ago

Hatimaye msanii wa muziki Shilole amefungua ndoa na mpenzi wake Uchebe.Mara kadhaa Shilole alikuwa akisisitiza kufunga ndoa mwaka huu lakini watu walikuwa wakichukulia poa kwa sababu si mara ya kwanza kutoa kauli kama hiyo lakini hapo jana December 6 akafanya kweli.Baada ya picha kusambaa mtandaoni aliyekuwa mpenzi wa Shilole, Nuh Mziwanda ameandika ujumbe katika ukurasa wa Instagram ambao unaweza kutafsiriwa kama ametupa kijembe kwenye ndoa hiyo, Nuh ameandika;Alie LaLa na BiBi harusi’wiki Moja KabLa ya harusi’Na wala sio Bwana Harusi’Bado mnanishauri harusi

ZINAZOENDANA

NEW VIDEO | Boy Kitila ft Nuh Mziwanda - SAMBUKIRE (Official Music Video)

 Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchoka...

Nay wa Mitego: Naangaikia Kuupeleka Mziki Mbele Siwezi Kujibishana na Mtu

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na kibao chake kipya kilichopewa jina la ‘Mikono Juu’ amefu...

Nilipopata ujauzito sikuwa najua - Dayna Nyange

6h ago

Msanii wa muziki Bongo, Dayna Nyange amefungua tetesi za kuwa mjamzito. Hitmaker huyo wa ngoma ‘...

New Music: Dayna Nyange - Sale Sale

7h ago

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Chovya, msanii wa muziki Bongo, Dayna Nyange ameachia ngo...

Diamond Platnumz awapa onyo watoto wake wa kiume

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa onyo kali kwa vijana wake wa kiume Nilan na Daylan kwa kuwat...

Diamond Platnumz awapa onyo watoto wake wa kiume

8h ago

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa onyo kali kwa vijana wake wa kiume Nilan na Daylan kwa kuwat...

Isikilize hapa Sitabaki Nilivyo 'cover' - Peter Msechu

9h ago

Wimbo wa ‘Sitabaki nilivyo’ ulioimbwa na msanii wa nyimbo za injili Joel Lwaga umeendelea...

Majibu ya Ed Sheeran baada ya kunaswa na pete ya uchumba

9h ago

Pete aliyovaa msanii wa muziki Ed Sheeran katika usiku wa ugawaji wa tuzp za BRIT Awards 2018, zilizo...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek