Wapalestina wazima taa za Krismasi mjini Bethlehem kupinga tangazo la Trump

By Dewji Blog, 1w ago

Wapalestina wamezima taa za krismasi kwenye mji mtakatifu wa Bethlehem alikozaliwa Bwana Yesu, kupinga hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kuutambua mji wa Yerusalem kama mji mkuu wa Israel. Afisa Habari wa Manispaa ya Bethelehem, Fady Ghattas amesema Mti wa Krismasi ulioko kwenye kanisa la Bethlehem ambako wakristo huamini Bwana Yesu alizaliwa, ulizimwa taa zake kwa amri ya Meya wa Manispaa hiyo. Miji mingine iliyozimwa taa ni Ramallah ulio karibu na mahali alipozikwa kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Waarabu na waislamu katika nchi za Mashariki ya kati wamepinga hatua ya T...

ZINAZOENDANA

Zitto awaumbua Msando, Kitila na Mghwira

3h ago

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amesema wanachama wa Chama ...

Rais wa CWT ashikiliwa na Takukuru Dodoma

3h ago

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma inamshikilia aliyekuwa Rais wa Cha...

Mbunge Mstaafu akanusha Kuhamia CCM

3h ago

NA Ibrahim Yamola, MwananchiMbunge wa zamani wa Muhambwe (NCCR-Mageuzi), Felix Mkosamali amekanusha t...

Rayvanny apata nafasi nyingine nchini Marekani akiwa na Jason Derulo

4h ago

Msanii Rayvanny kutokea WCB ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wanaoitambulisha vyema sanaa ya Tanz...

JAFO AAGIZA KUTOBADILISHWA MALENGO YA SEKONDARI YA IHUNGO

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa shule y...

Weledi na ubora wa kazi ndio msingi mzuri wa kupata Soko la Sanaa;Dkt.Mwakyembe.

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa hafla ya u...

Mfahamu muigizaji aliyelipwa pesa nyingi Hollywood 2017

7h ago

Muigizaji Mark Wahlberg kutokea “Hollywood” nchini Marekani ametajwa na jarida la Forbes ...

Diamond Platnumz amtaja French Montanna kwenye kolabo ya Jason Derulo na Rayvanny

7h ago

Mapema tarehe 16 mwezi Disemba, 2017, Staa wa ngoma ya ‘Kwetu’ kutoka lebo ya muziki ya W...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek