Mshindi wa droo ya 30 kutoka Mkuranga akabidhiwa zawadi yake

By Soka 360, 24w ago

Fadhili Ali Bungara (23) fundi ujenzi na mkazi wa Mkuranga Pwani (mwenyeji wa Mtwara) ndiye mshindi wa droo ya 30 ya promosheni ya SHINDA NA SPORTPESA. Mshindi huyo alikabidhiwa TVS KING DELUXE yake Disemba 5 Mkuranga mbele ya ndugu, jamaa na marafiki waliojitokeza kushangilia ushindi huo. SportPesa inaendelea kutoa TVS KING DELUXE kila siku kwa […]

ZINAZOENDANA

Kampuni ya SportPesa yaipa Simba mamilioni

2d ago

Simba ni miongoni mwa timu tatu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ambazo zinadhaminiwa na SportPes...

SIMBA SC WAZAWADIWA MILIONI 100 NA SPORTS PESA KWA KUTWAA UBINGWA

2d ago

Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas akizungumza jambo akiwa ameambana na Mk...

SIMBA WALAMBA SH.MILIONI 100 KUTOKA SPORTPESA KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU

Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas akizungumza jambo kabla ya makabidhiano...

Simba walamba Sh. 100m za SportPesa

Nahodha wa Simba John Bocco (kulia) akimkabidhi kombe la ubingwa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Pavel ...

Sportpesa yamwaga pesa Simba

3d ago

Simba ni miongoni mwa timu nane zitakazo shiriki mashindano ya Sportpesa nchini Kenya kuanzia Juni 3-...

Simba SC wakabidhiwa mamilioni yao, Manara asema mwaka huu watainyoosha Everton 'Goodson Park'

3d ago

Kampuni ya SportPesa Limited leo siku Alhamisi tarehe 24 Mei imekabidhi hundi ya Shilingi Milioni 100...

SPS8: Makadara JLSA yaendelea kugawa dozi 

4d ago

Timu ya Makadara JLSA iliendeleza rekodi ya kutoshindwa na pia kukaa kileleni katika msimamo wa kiput...

Ule mchongo wa Okwi na Boko kutua Liverpool upo hivi...

1w ago

SIMBA awamu hii haitaki masikhara kabisa. Unaambiwa jana Alhamisi mashindano ya Kombe la SportPesa ya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek