Chuchu Hans Awananga Wauza Nyago Wanaosaka Umaharufu kwa Picha za Utupu

By Udaku Specially, 2w ago

STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans amewananga wauza nyago ambao wameibuka na picha za utupu kwa lengo la kusaka umaarufu na kusema kuwa, kitendo hicho madhara yake ni makubwa siku zijazo kwani wanaweza kukosa waume wa kuwaoa.Akipiga stori na paparazi wetu, Chuchu ambaye amejituliza na kuzaa na muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’, alisema amekuwa akiona wasanii wengi wanaoibuka sasa kwenye sanaa hususan wanaojihusisha na umodo katika video za muziki, wakisambaza picha zao za utupu kwa lengo la kupata umaarufu bila kujua wanajiharibia.“Niwatahadharishe tu wasanii wenzangu waachane na haya mambo,...

ZINAZOENDANA

Belle 9 kafunguka baada ya picha zake za harusi kusambaa

1h ago

December 17,2017 picha za msanii Belle 9 zilisambaa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha amefunga...

Video: Masauti – Nurulain

3h ago

Msanii wa muziki Bongo, Masauti ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Nurulain’, video imeon...

NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE

Naibu Waziri Mhe. Injinia Stella Manyanya afungua rasmi mkutano kwa njia ya Mtandao yaan (Video Confe...

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete anazungumza katika Mkutano Mkuu 9 wa CCM – DODOMA

4h ago

Wakati huu kupitia Ayo TV  unaweza kuangalia Hotuba kutoka kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete katika Mk...

Video 20 za wasanii wa Bongo zilizoangaliwa zaidi YouTube 2017

4h ago

Zikiwa zimebaki siku 13 mwaka 2017 umalizike, Bongo5 imekuandalia list ya video 20 zilizoangaliwa zai...

Takukuru yatupa ushahidi wa Flashi ya Nassari, Lema

5h ago

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema imeshindwa kuendelea na uchunguzi wa tuhu...

Video: Viongozi wa CCM hawapaswi kuwaogopa watendaji wa serikali – Rais Magufuli

5h ago

AliyekuwaxMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amese...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek