Ukarabati Wamkwamisha Rais wa Zimbabwe Kuingia Ikulu

By Udaku Specially, 2w ago

Rais wa Zimbabwe,  Emmerson Mnangagwa bado anaendelea kuishi nje ya ikulu akisubiri ukarabati ulioanza ili kurejesha katika hadhi yake.Mnangagwa aliapishwa hivi karibuni kuwa Rais wa Zimbabwe akihitimisha miaka 37 ya utawala wa Robert Mugabe aliyeongoza taifa hilo tangu uhuru.Hata hivyo, licha kuapishwa kiongozi huyo ameshindwa kuhamishia makazi yake katika ikulu ya taifa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ikulu hiyo kuhitaji matengenezo makubwa.Kulingana na msemaji wa rais, George Charamba ikulu ya Zimbabwe ilitelekezwa kwa muda mrefu na Mugabe aliyehamishia makazi yake katika jengo lak...

ZINAZOENDANA

Rais Magufuli ashinda kura 100% kuiongoza CCM

1h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa cha...

JPM ameshinda kwa kura zote kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa

1h ago

Leo December 12, 2017 kwenye Uchaguzi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Rais John Magufuli amepita kwa kura ...

Maneno ya Mzee Makamba kwa Rais Magufuli ‘2020 mshindi ni CCM, wewe lala’

2h ago

Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amemuambia Rais wa Jamhuri ya Muun...

Kukata jongoo kwa meno kuna hitaji ujasiri – Dkt. Kikwete

3h ago

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Chama cha Mapinduzi(CCM) kwa mi...

Hali ya usalama nchini DRC CONGO,Mkuu wa tume ya kulinda amani Umoja wa Mataifa akutana na Rais wa DRC CONGO

3h ago

Mkuu wa tume za kulinda amani wa Umoja wa Mataifa mwishoni mwa juma amekutana na rais wa Jamuhuri ya ...

DK.MAGUFULI AMTAKA TENA KINANA,WAJUMBEA WASHANGILIA KUUNGA MKONO

3h ago

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akifungua Mkutano Mkuu wa tisa wa CCM, katika Ukumbi wa Ja...

Mtoto wa Gadafi Ajitokeza Kugombea Urais wa Libya 2018

Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya Muammar Gaddafi, Saif al-Islam Gaddafi, anatarajia kugombea urais wa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek