Dully Sykes: Nina Jina Kubwa Kuliko Kipato Changu

By Udaku Specially, 2w ago

Msanii wa muziki Bongo, Dully Sykes amefunguka sababu ya kutosimamia wasanii kwa sasa tofauti na hapo awali.Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Bombardier’ ameiambia The Base, ITV kutofanya hivyo kunatokana na kipato kuwa kidogo licha ya kuwa msanii mwenye jina kubwa.“Ilisimama kwa sababu hata kipato hakikuwa kikubwa, mimi siyo msanii labda mwenye kipato kikubwa, nina jina kubwa tofauti na kipato, kwa hiyo siwezi kusema jina langu lina uwezo wa kumchukua msanii no!!, nilitakiwa nipate kipato kwanza ndio nianze kumsimamia msanii wangu” amesema Dully Sykes.Hata hivyo Dully ame...

ZINAZOENDANA

Y Tony afunga na mchanganyiko wa Charanga na Bongo Fleva

2h ago

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Heri Michael ‘Y Tony’ ameachia rasmi ka...

Romy Jones ‘RJ’ ajitumbukiza kwenye sanaa ya filamu

3h ago

Dj wa Msanii Diamond Platnumz, Romy Jones ‘RJ’ amethibitisha kuwa ni wasaa mwingine wake ...

Video: Masauti – Nurulain

3h ago

Msanii wa muziki Bongo, Masauti ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Nurulain’, video imeon...

DIAMOND KAKAMUA DILI LENGINE NA SHIRIKA LA NDEGE LA TURKISH AIRLINE!

5h ago

Diamond Platnumz anazidi kunawiri vyema kwenye ulingo wa sanaa vilevile ulingo wa biashara. Hatua ina...

Video: Ghetto Ambassador ft Mansu Li – Nafanya yangu

6h ago

Msanii wa muziki Bongo, Rapper Ghetto Ambassador ameachia video ya ngoma yake ‘Nafanya Yangu...

New Audio: Burn It Down – Juli

7h ago

Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Juliana Patrick aka Juli ambaye anaishi nchini Marekani, ame...

Akothee atamani watoto mapacha kwa Meneja wake ‘Nelly Oaks’

8h ago

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Esther Akoth ‘Akothee’ ameonesha kutamani uazo wa w...

Madee: Baada ya Ndoa Dogo Janja Tulimuandaa Kisaikolojia Kukabiliana na Changamoto za Ndoa

Msanii wa muziki ambaye pia ni Rais wa Tip Top Connection, Madee Ali amefunguka kuzungumzia namna wal...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek