Mambosasa Akanusha Kutupilia Mbali Kesi ya Dkt Shika "Kesi Ipo Pale Pale Tukitaka Kumpeleka Mahakamani Umma Utajulishwa"

By Udaku Specially, 15w ago

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa amekanusha taarifa za kuachana na kesi ya Dkt.Louis Shika, na kusema kwamba kesi yake bado ipo pale pale isipokuwa hawajaipa kipaumbele.Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Kamanda Mambosasa amesema jalada la kesi ya Dkt. Shika bado lipo isipokuwa kesi yake haina mashiko kwani hajaleta madhara yoyote kwenye nyumba zilizokuwa zikipigwa mnada.Kamanda Mambosasa amesema iwapo wataamua kumpandisha mahakamani Dkt. Sika kujibu mashitaka yake umma utajulishwa ili wajue kile kinachoendelea."Siyo kweli kama tumeamua kuachana naye kabisa, jal...

ZINAZOENDANA

Onyo kali latolewa baada ya Serikali kutangaza kuuza meno ya Viboko

8w ago

 ***Wanunuzi wataruhusiwa kuyakagua (Januari 25 na 26) kabla ya mnada***Watakaovuruga mnada kuki...

Mnada mwingine mahekalu ya Lugumi

9w ago

MNADA wa mahekalu ya mfanyabiashara Said Lugumi, ambaye kampuni yake inadaiwa kodi na serikali, unata...

Hizi Ndivyo Dkt Shika Alivyofunguka Kuhusu Safari Yake ya Kwenda Marekani

11w ago

Mtanzania Dkt. Louis Shika amedai mara baada ya kumaliza mambo yake hapa nchini anatarajia kwenda nch...

Dkt. Shika aeleza mipango ya kwenda Marekani, ‘Mimi ni balozi Umoja wa Mataifa’

11w ago

Mtanzania Dkt. Louis Shika amedai mara baada ya kumaliza mambo yake hapa nchini anatarajia kwenda nch...

Dkt. Shika azikacha Dili za Matangazo, Kisa?

12w ago

Mtanzania Dkt. Louis Shika aliyejizolea umaarufu mkubwa hivi karibuni katika mitandao na vyombo vya h...

Dkt. Shika aibuka tena, na kueleza sababu ya kuacha kufanya matangazo

12w ago

Dkt. Louis Shika, mtanzania aliyejizolea umaarufu siku za hivi karibuni kupitia vyombo vya habari, a...

Louis Shika Aibuka na Jipya..Umoja wa Mataifa Umempandisha Cheo..Ajipanga Kwenda Kuishi Marekani

12w ago

Doctor Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za Lugumi, ame...

Dk. Shika ( 900 Itapendeza ) Atangaza Kuihama Tanzania

12w ago

Dkt. Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za Lugumi, amese...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek