Rais Magufuri Kuhamia Dodoma Mwakani, Mama Samia Mwishoni mwa Mwaka Huu

By Udaku Specially, 2w ago

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais John Magufuli atahamia Dodoma wakati wowote mwaka 2018 na si 2020 kama ilivyotangazwa awali na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan atahamia Dodoma mwishoni mwa mwaka huu kwa kuwa maandalizi yapo tayari.Waziri mkuu amesema hayo leo Alhamisi  Desemba 7, 2017 wakati wa uzinduzi wa ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Dodoma ambapo amesema hadi sasa watumishi 2,346 kutoka wizara zote wakiwemo mawaziri, makatibu wakuu na wakurugenzi wameshahamia Dodoma.Majaliwa jana Jumatano Desemba 6, 2017 alikagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa na M...

ZINAZOENDANA

Rais Magufuli ashinda kura 100% kuiongoza CCM

1h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa cha...

JPM ameshinda kwa kura zote kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa

1h ago

Leo December 12, 2017 kwenye Uchaguzi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Rais John Magufuli amepita kwa kura ...

Maneno ya Mzee Makamba kwa Rais Magufuli ‘2020 mshindi ni CCM, wewe lala’

2h ago

Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amemuambia Rais wa Jamhuri ya Muun...

LIVE: Haya Ndiyo Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa CCM – Dodoma

The post LIVE: Haya Ndiyo Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa CCM – Dodoma appeared first on Global Pub...

Spika wa Eala kujulikana kesho

3h ago

Mbidde ametoa hoja ya kuahirishwa kwa bunge kutokana na akidi kutotimia wakati wa kufanya uchaguzi li...

Kukata jongoo kwa meno kuna hitaji ujasiri – Dkt. Kikwete

3h ago

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Chama cha Mapinduzi(CCM) kwa mi...

Uchaguzi katika chama cha ANC Afrika Kusini,Uhesabuji kura waendelea kumtangaza mshindi

3h ago

Uhesabuji wa kura unaendelea baada ya kura ya kuchagua uongozi wa chama tawala nchini Afrika kusini c...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek