Watu Wasijulikana Wafukua Kaburi za Mume wa Zari Kwa Lengo la Kuchukua Mali

By Udaku Specially, 15w ago

POLISI wilayani Kayunda nchini Uganda inawatafuta watu waliojaribu kulifukua kaburi la marehemu Ivan Ssemwanga lililoko katika kijiji cha Nakaliro usiku wa Jumanne iliyopita ili kuutoa mwili wake. Ssemwanga alizikwa kijijini kwao huko Mei mwaka huu katika mazishi yaliyokuwa na shamrashamra kibao.Habari zilizopatikana kutoka kwa mmoja wa ndugu zake zimesema waliofanya hivyo walikuwa wamelenga kulichukua fuvu lake. Kaburi lake lilikuwa likilindwa na polisi kuzuia watu wasilifukue na kuchukua fedha ambazo zilitupwa ndani ya kaburi hilo na marafiki zake waliokuwa wanajiita “kundi la matajiri”....

ZINAZOENDANA

Wanachoiga Harmonize na Sarah kutoka kwa Zari na Diamond

9h ago

Moja ya couple tulivu ambayo haina drama nyingi kwa sasa Bongo ni ile ya Harmonize na mpenzi wake Sar...

Wema Sepetu, Zari Hapatoshi Mitandaoni, Maua Yazua Gumzo Balaa

WEMA SEPETU NA ZARI THE BOSS LADY KUMEKUCHA,HAPATOSHI,DJ WA DIAMOND JORMY JONES AFANYA YAKEWema, Zari...

Ninapokuwa Karibu na Wema , Basi Mafaniko Yanakuwa Mengi-Diamond

Ikiwa bado drama za kwenye mitandao zikiendelea , Diamond Platinumz amefunguka na kukiri kuwa mara zo...

Haya Hapa Maamuzi ya Shilole Baada ya Zari na Wema Kupost Maua Yao

Leo March 19,2018 story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post pi...

Diamond: '€œHakuna Mwanamke Aliyeniliza Kama Wema Sepetu'€

4d ago

Mapenzi ni matamu kuzidi asali, lakini ukitendwa huwa machungu zaidi ya shubiri. Diamond Platnumz ame...

Wema Kaja na Hili Jipya Kuchombeza Kuwa Karudisha Majeshi Kwa Diamond

Diamond Platnumz ameachana na Zari mwezi uliopita na tangu hapo Kumekuwa na fununu za wanawake kadhaa...

Wema Sepetu achafua mtandao kwa Ua Jekundu

4d ago

Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu amegeuka topic inayohusu mapenzi mara tu baada ya kupost p...

Baada ya Ua Jeusi la Zari, Wema Sepetu Penzi Lake Lachanua Upya Amtumia Ua Jekundu Diamond

Mapenzi ni kikohozi, hayawezi kufichika. Malkia wa filamu nchini Tanzania Wema Sepetu Jumatatu hii am...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek