Jacqueline Wolper, Leo Kusheherekea Sherehe Yake ya Kuzaliwa

By Udaku Specially, 15w ago

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper, leo anatarajia kufanya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa huko Masaki katika ukumbi wa Buckets ambapo atazindua ‘Application’ ambayo itapatikana kwenye Google Play Store ya duka lake la nguo kuwawezesha wateja wake kupata huduma kwa ukaribu.Msanii atakayepiga shoo katika hafla hiyo ni Barnaba Classic  kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku.  Wolper amemchagua Barnaba kupiga shoo hiyo kwa kuwa ni msanii anayempenda na kumsapoti kwa ukaribu akisema nyimbo zote alizoimba zinaelezea maisha yake aliyoyapitia.Staahuyo amewaomba mashabiki zake kufik...

ZINAZOENDANA

Spotify Kuingia Barani Afrika Rasmi Ikianzia Nchi Hii

32m ago

Teknolojia inaendelea kukua ulimwenguni kote kwenye sekta mbalimbali za maendeleo, kijamii, kiuchumi,...

Maswali Mengi Yaibuka Baada ya Nisha Bebe Kutupia Picha Akiwa na Ex wa Wolper

Kwenye upande wa mitandao ya kijamii picha na videos ambazo zimekuwa ziki-trend ni za muigizaji Nisha...

Wolper:Sijawahi Kuachwa na Mwanaume Hata Siku Moja

8h ago

Muigizaji wa Bongo movie na mfanyabiashara maarufu Jacqueline Wolper amefunguka na kuweka wazi kuwa h...

Sijawahi Kuachwa na Mwanaume Hata Siku Moja- Wolper

Muigizaji wa Bongo movie na mfanyabiashara maarufu Jacqueline Wolper amefunguka na kuweka wazi kuwa h...

Nisha Amkwapua Brown Ex Wa Wolper

12h ago

Muigizaji wa Bongo movie Nisha bebe ameingia Kwenye headlines Kwenye mitandao ya kijamii kwa hivi sas...

Nguo za Wolper Zapagawisha Mashabiki Wake Insta!

STAA wa filamu za Kibongo asiyepungukiwa mbwembwe kwenye mapenzi, Jacqueline Wolper,  ndiYo staa a...

WOLPER; KIBOKO KWA KOPI & PASTE

HAKUNA kitu kizuri duniani kama kubarikiwa kuwa na kipaji ambacho unaweza kukifanya na jamii ikakukub...

Vazi la wolper yaleta gumzo.

Usiku wa Vikings uliofanyika King Solomon siku ya Jumamosi March 10,2018 mastaa mba...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek