Wolper Amuunga Mkono Faiza Kuweka Picha Akiwa Leba Anajifungua " Wabongo ni Washamba"

By Udaku Specially, 15w ago

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amesema kuwa, anamuunga mkono muigizaji Faiza Ally kwa kitendo chake cha kuweka picha inayomuonyesha akiwa mtupu katika chumba cha kujifungulia (leba).Wolper alisema anawashangaa watu wanaomponda Faiza aliyeposti picha hiyo hivi karibuni katika ukurasa wake wa Instagram, wakati yeye amevutiwa sana na kitendo hicho na ipo siku atamuiga.“Wabongo ni washamba, ushamba unawasumbua sio kingine. Sioni ubaya wa hiyo picha hata kidogo, eti katudhalilisha, kamdhalilisha nani sasa pale, mimi nimefurahi mno tena nitamuiga nikijaaliwa kupata mtoto,”alisema Wolper...

ZINAZOENDANA

Maswali Mengi Yaibuka Baada ya Nisha Bebe Kutupia Picha Akiwa na Ex wa Wolper

Kwenye upande wa mitandao ya kijamii picha na videos ambazo zimekuwa ziki-trend ni za muigizaji Nisha...

Wolper:Sijawahi Kuachwa na Mwanaume Hata Siku Moja

8h ago

Muigizaji wa Bongo movie na mfanyabiashara maarufu Jacqueline Wolper amefunguka na kuweka wazi kuwa h...

Sijawahi Kuachwa na Mwanaume Hata Siku Moja- Wolper

Muigizaji wa Bongo movie na mfanyabiashara maarufu Jacqueline Wolper amefunguka na kuweka wazi kuwa h...

Nisha Amkwapua Brown Ex Wa Wolper

12h ago

Muigizaji wa Bongo movie Nisha bebe ameingia Kwenye headlines Kwenye mitandao ya kijamii kwa hivi sas...

Nguo za Wolper Zapagawisha Mashabiki Wake Insta!

STAA wa filamu za Kibongo asiyepungukiwa mbwembwe kwenye mapenzi, Jacqueline Wolper,  ndiYo staa a...

WOLPER; KIBOKO KWA KOPI & PASTE

HAKUNA kitu kizuri duniani kama kubarikiwa kuwa na kipaji ambacho unaweza kukifanya na jamii ikakukub...

Vazi la wolper yaleta gumzo.

Usiku wa Vikings uliofanyika King Solomon siku ya Jumamosi March 10,2018 mastaa mba...

Wolper Kuitangaza Tanzania Kupitia Mavazi

Msanii wa maigizo na ujasiamali nchini, Jackline Wolper  anasema kuwa pamoja na kufanikiwa sana ka...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek