Polepole Awatupia Dongo Chadema..."Watani Wanakutana Leo Agenda ni Kutoshiriki Uchaguzi"

By Udaku Specially, 2w ago

Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amesema  CHADEMA wamefanya kikao cha dharura  kususia uchaguzi wa marudio wa majimbo na kata unaotarajiwa kufanyika January 13 mwakani.Polepole amewatuhumu  CHADEMA  kuwa wanatumia mgongo wa kuminywa kwa Demokrasia nchini kususia uchaguzi huo wakati ukweli ni kwamba wamefulia baada ya kutumia vibaya hela ya mfuko wa chama chao."Watani wanakutana leo, agenda ni kutoshiriki uchaguzi unaokuja wa marudio kwa kisingizio cha demokrasia lakini ukweli ni matumizi mabaya ya fedha yamefuja mfuko wa chama. Tafuteni visingizio vingin...

ZINAZOENDANA

Majina ya walioshinda kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)

33m ago

Mkutano wa tisa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umefanyika mjini Dodoma leo ambapo miongoni mwa viongozi...

Alichoandika Joshua Nassar kuhusu TAKUKURU

35m ago

Jana zilisambaa taarifa kuwa TAKUKURU haitaendelea na uchunguzi dhidi ya malalamiko yaliyotolewa na M...

Kikwete azungumzia uenyekiti CCM

45m ago

Hakuna shule ya kusomea uenyekiti wa CCM na urais.

Rais Magufuli ashinda kura 100% kuiongoza CCM

55m ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa cha...

JPM ameshinda kwa kura zote kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa

1h ago

Leo December 12, 2017 kwenye Uchaguzi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Rais John Magufuli amepita kwa kura ...

Maneno ya Mzee Makamba kwa Rais Magufuli ‘2020 mshindi ni CCM, wewe lala’

2h ago

Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amemuambia Rais wa Jamhuri ya Muun...

LIVE: Haya Ndiyo Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa CCM – Dodoma

The post LIVE: Haya Ndiyo Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa CCM – Dodoma appeared first on Global Pub...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek