Takwimu: Watu Bilioni 1.7 Huugua Magojwa ya Kuhara

By Udaku Specially, 15w ago

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amesema kuwa Takwimu za shirika la Afya duniani linaonyesha kuwa kila watu wapatao Bilioni 1.7 huugua magonjwa ya kuhara ambapo watu bilioni 1.8 hupoteza maisha ikiwa ni sawa na kupoteza watu wanne kila dakika duniani kote.Makamu wa Rais ameyasema hayo leo, mjini Dodoma katika uzinduzi wa Kampeni Taifa ya Usafi wa Mazingira awamu ya pili inayobeba jina la ‘Usichukulie poa – nyumba ni choo’“Takwimu za shirika la Afya duniani linaonyesha kuwa kila watu wapatao Bilioni 1.7 huugua magonjwa ya kuhara, ambapo watu bilioni 1.8 hu...

ZINAZOENDANA

Viongozi 13 Wahukumiwa Jela Miaka 30 Kisa Hiki Hapa

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu Hispania amewasomea hukumu viongozi 13 wakubwa wa Jimbo la Catalonia nch...

JPM Afanya Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki

  Rais Dkt. John Magufuli amemteua Prof. Lazaro S.P. Busagala kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ng...

WATU WENYE MAHITAJI MAALUM NCHINI WAFANYIWE UTAFITI WA KINA

3h ago

Wakati umefika wa kufanywa utafiti wa kina kujua mazingira halisi ya Watu wenye mahitaji Maalum Nchin...

TAMISEMI KUBAINI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

3h ago

KAIMU Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Ernest Mkongo amefunga Mafunzo Elekezi ya kubaini watoto wenye ...

Ufaransa: Rais Macron alaani tukio la utekaji Trebes, watu 3 wauawa

3h ago

Watu watatu wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa nchini Ufaransa katika tukio la utekaji ...

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YABILL AND MELINDA GATES FOUNDATION

3h ago

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuru...

Mama Samia Akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Bill

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo (Ijumaa) amekutana na kuf...

Serikali Yawaonya Maofisa Elimu

 Serikali imewaonya maofisa elimu nchini kutowapangia walimu wa sekondari wa masomo ya sanaa kwe...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek