Takukuru Yawakalia Kooni Makada CCM Kuhusu Tuhuma za Rushwa

By Udaku Specially, 2w ago

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, imeendelea kuwang’ang’ania viongozi na makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuendeleza uchunguzi dhidi yao kuhusu tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa wakati wa mchakato wa uchaguzi uliomalizika Desemba 3,2017.Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mwanza, Ernest Makale leo Alhamisi Desemba 7,2017 ameieleza MCL Digital kuwa taasisi hiyo inaendelea kukusanya ushahidi ili kuwafikisha mahakamani au kuwaachia viongozi na makada hao ambao hata hivyo hakuwa tayari kuwataja.Ninachoweza kukuthibitishia ni kwamba, tunaendelea na uchung...

ZINAZOENDANA

Majina ya walioshinda kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)

41m ago

Mkutano wa tisa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umefanyika mjini Dodoma leo ambapo miongoni mwa viongozi...

Alichoandika Joshua Nassar kuhusu TAKUKURU

43m ago

Jana zilisambaa taarifa kuwa TAKUKURU haitaendelea na uchunguzi dhidi ya malalamiko yaliyotolewa na M...

Kikwete azungumzia uenyekiti CCM

53m ago

Hakuna shule ya kusomea uenyekiti wa CCM na urais.

Rais Magufuli ashinda kura 100% kuiongoza CCM

1h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa cha...

JPM ameshinda kwa kura zote kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa

1h ago

Leo December 12, 2017 kwenye Uchaguzi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Rais John Magufuli amepita kwa kura ...

Maneno ya Mzee Makamba kwa Rais Magufuli ‘2020 mshindi ni CCM, wewe lala’

2h ago

Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amemuambia Rais wa Jamhuri ya Muun...

LIVE: Haya Ndiyo Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa CCM – Dodoma

The post LIVE: Haya Ndiyo Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa CCM – Dodoma appeared first on Global Pub...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek