MAHARAMIA WA KAZI ZA WASANII KUFIKISHWA MAHAKAMANI WIKI IJAYO

By Full Shangwe Blog, 10w ago

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es Salaam. Mzigo ambao mpaka sasa umeshakamatwa ukiwa umeifadhiwa. Picha/Habari na Kajunason/MMG-Dar es Salaam. Maharamia wa kazi za wasanii zaidi ya 200 waliokamatwa katika zoezi laukamataji kazi feki za sanaa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wiki ijayo. …

ZINAZOENDANA

TPB kuunganisha wateja mradi dola milioni 1

2h ago

BENKI ya TPB imeungana na taasisi ya Savings at the Frontier (SatF) katika mradi wa dola za Marekani ...

Taswa FC yang'ara Media Day ya DSTV

2h ago

Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imewafundisha soka timu ya MultiChoic...

Daktari- Mjamzito kujamiiana si hatari kwa mtoto

2h ago

MTAALAMU bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na...

Mambo yaliyowapa ushindi Mtulia, Mollel

3h ago

BAADHI ya wachambuzi wa siasa nchini wakiwemo wahadhiri, wamezungumzia uchaguzi wa mdogo katika majim...

TBL yapata tuzo ya usalama wa mazingira

3h ago

KAMPUNI ya TBL Group imetunukiwa tuzo ya kuwa na mfumo mzuri wa kuharibu taka zinazotokana na mchakat...

Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Kwanza

3h ago

Picha na Makala na Josephat Lukaza- Dog Tips TanzaniaMbwa ni mnyama kama wanyama wengine na pindi una...

DED UKEREWE APEWA SIKU KUELEZA MATUMIZI YA SH. MIL. 350 ZA MIRADI YA MAENDELEO

3h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe Bw. F...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek