Mke Wangu Ana Mimba; Katokea Kunichukia na Kampenda Mume wa Mtu Jirani na Chumba Tulichopanga

By Udaku Specially, 2w ago

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwanaHusika na kichwa cha habari hapo juuMimi kijana mwenzenu nasikitika sana na hii tabia ya mke wangu, kwakweli ana nichanganya sana jamanAna mimba ya miez sita lakin katokea kunichukia sana jaman hatak hata kunisogelea wala kula chakula mezan pamoja na mimiLakin katokea kumpenda mme wa mtu ambaye ni jiran wa chumba hapa tulipopangaMke wangu ni mama wa nyumban na hana kaz lakin mimi huondoka asubuh sana kwenda job lakin hurud usiku wa saa tatuNikifika nyumban get had nije nifunguliwe na mtu mwingine mke wangu yeye kalala tu na hata kama nikifika mlangon huwa ha...

ZINAZOENDANA

NAFASI ZA KAZI TANROADS

12m ago

The Regional Manager’s office TANROADS – Kigoma, on behalf of the Chief Executive TANROAD...

Ramaphosa awa mwenyekiti ANC

16m ago

Chama cha African National Congress (ANC), Afrika Kusini kimemchagua Cyril Ramaphosa, kuwa mwenyekiti...

Paul Kyara afariki dunia jijini Dar es Salaam

16m ago

Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Regency

El Clasico: Fainali ya mwisho ya Madrid mwaka 2017, wakifungwa wasahau La Liga

24m ago

Baada ya kushinda fainali ya 5 ndani mwaka 2017 dhidi ya Gremio jumamosi iliyopita – jumamosi h...

Mwanafunzi wa kike aliyekamatwa na bangi kwenye nguo ya ndani kulipwa fidia Tsh 90 milioni

32m ago

Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru mwanafunzi wa kike kulipwa fidia ya KSh 4 milioni sawa na Tsh. m...

Majina ya walioshinda kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)

40m ago

Mkutano wa tisa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umefanyika mjini Dodoma leo ambapo miongoni mwa viongozi...

Alichoandika Joshua Nassar kuhusu TAKUKURU

42m ago

Jana zilisambaa taarifa kuwa TAKUKURU haitaendelea na uchunguzi dhidi ya malalamiko yaliyotolewa na M...

Kikwete azungumzia uenyekiti CCM

52m ago

Hakuna shule ya kusomea uenyekiti wa CCM na urais.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek