Nishaurini: Nimegundua Pesa Ninazompa Anahonga Mwanaume Mwingine

By Udaku Specially, 2w ago

Mimi ni kijana wa kiume nna miaka 27, kuna msichana nimekutana nae miezi minne iliopita, kiukweli ni mzuri sana pia ni mwanachuo hapa Dar, kiukweli nimemuhudia sana ndani ya miezi hiyo minne.Nimemnunulia hadi kiwanja Chanika, simu nzuri, pesa za matumizi nampa nyingi tuu nimemwambia boom lake awasaidie wazazi nyumbani kwani aliniambia wako vibaya sana (maskini wa kutupwa)Sasa juzi nimegundua kumbe pesa ninazompa ana kamwanamme kake nae anakahonga anasoma nako chuo.Gharama nilizomgharamia nimecalculate ni zaidi ya M8, nikimuulza analeta kiburi anadai kama vipi tuachane.Je, nifanyaje? Juzi washi...

ZINAZOENDANA

NAFASI ZA KAZI TANROADS

11m ago

The Regional Manager’s office TANROADS – Kigoma, on behalf of the Chief Executive TANROAD...

Ramaphosa awa mwenyekiti ANC

15m ago

Chama cha African National Congress (ANC), Afrika Kusini kimemchagua Cyril Ramaphosa, kuwa mwenyekiti...

Paul Kyara afariki dunia jijini Dar es Salaam

15m ago

Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Regency

El Clasico: Fainali ya mwisho ya Madrid mwaka 2017, wakifungwa wasahau La Liga

23m ago

Baada ya kushinda fainali ya 5 ndani mwaka 2017 dhidi ya Gremio jumamosi iliyopita – jumamosi h...

Mwanafunzi wa kike aliyekamatwa na bangi kwenye nguo ya ndani kulipwa fidia Tsh 90 milioni

31m ago

Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru mwanafunzi wa kike kulipwa fidia ya KSh 4 milioni sawa na Tsh. m...

Majina ya walioshinda kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)

39m ago

Mkutano wa tisa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umefanyika mjini Dodoma leo ambapo miongoni mwa viongozi...

Alichoandika Joshua Nassar kuhusu TAKUKURU

41m ago

Jana zilisambaa taarifa kuwa TAKUKURU haitaendelea na uchunguzi dhidi ya malalamiko yaliyotolewa na M...

Kikwete azungumzia uenyekiti CCM

51m ago

Hakuna shule ya kusomea uenyekiti wa CCM na urais.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek