Steve Nyerere Athibitisha Kupatana Kwa Wema Na Mh.Makonda

By Ghafla Tanzania, 19w ago

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kuzagae kwa picha zikionyesha msanii wema sepetu na Mh.Paul Makonda  wakiwa pamoja na kwamba wamemaliza tofauti walizokuwa nazo baada ya wema kuamiha chadema na baadae kurudi tena CCM, Steve Nyerere ambae inasemekana kuwa ndiye alifanikisha zoezi la Wema Sepetu kurudi CCM  amefunguka na kuongelea swala la Paul Makonda kumsamehe Wema Sepetu. Akiongea kwa njia ya simu na GPL, Steve Nyerere ambao alisema kuwa kwa wakati huo alikuwa akitokea Dodoma kuelekea Dar alisema kuwa ni kweli tofauti za wawili hao zieisha na kila kitu kiko sawa sasa hivi wamejikita zaid...

ZINAZOENDANA

Wema Sepetu apata mzuka

39m ago

Wema Sepetu anaamini Tuzo ya Sinema Zetu aliyoshinda wiki chache zilizopita imemfungulia njia ya kupa...

Watu waelimishwe umuhimu wa kupima afya

39m ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepitisha uamuzi ambao ulipokewa kwa hisia tofauti kuhus...

NIMERIDHISHWA NA MAADHALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO-MAJALIWA

2h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa ...

Watu waelimishwe umuhimu wa kupima afya

3h ago

Wiki iliyopita Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipitisha uamuzi ambao ulipokewa kwa hisi...

Chadema kitanzini kwa agizo la ofisi ya Waziri Mkuu

5h ago

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo kipo hatarini kuchukuliwa hatua kali na Ofisi ya Msajili wa Vyama v...

Wema Sepetu naye yamkuta mahakamani

5h ago

MALKIA wa Bongo Movie, Wema Sepetu ameingia hatiani kwa kuonekana ana kesi ya kujibu katika mashitaka...

Wanaume Watano Wamejitokeza Wanataka Kunioa- Wema

Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali mwanadada Wema Sepetu amefunguka na kueleza jinsi wanaume wa...

Makonda Agharamia Mazishi ya Agness Masogange

Imethibitika kuwa moja ya wadau waliosaidia kufanikisha maombelezo ya kifo cha mrembo Agness Masogang...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek