Kumbe Unga wa Muhogo Hutengeneza Kiwashio Moto Cha Kibiriti?!!!

By Zanzi News, 6w ago

Uongozi wa Mkikita ukiwa na uongozi wa kiwanda cha Unga cha Ukaya, Mkuranga, Pwani, ulipotembelea kiwanda hicho ambacho wako mbioni kuingia mkataba wa kusaga mihogo ya wanachama wao kupata unga wa kuuza katika masoko ya ndani na nje ya nchi.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mkikita, Dk. Kissui S. Kissui, Mkurugenzi wa Kiwanda, Ibrahim, Meneja wa Kiwanda, Matanga na Mkurugenzi wa Mkikita, Adam Ngamange.Na Richard Mwaikenda, MkurangaUNGA wa muhogo unatumika kutengenezea kishungi cha kuwashia moto katika vibiriti.Jambo hilo lilithibitishwa na Mkurugenzi wa Kiwanda cha kusaga muhogo cha Ukay...

ZINAZOENDANA

TIRA, IIT Wazindua Mfumo Wa Kimtandao Wa Huduma Za Bima

  Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Bima Tanzania (IIT...

DC matatani kwa kupiga kampeni

4m ago

Kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu kupanda jukwaani kumnadi mgombea wa CCM katika Jim...

Mashahidi watatu watoa ushahidi katika kesi dhidi ya Sugu

4m ago

Sugu na Masonga wanashtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli, wakida...

Dr Mollel : Nilifanya Jambo la Kitoto Nilipokuwa Chadema, Waliniambia Nitoke Bungeni Magufuli Akiingia

8m ago

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha kwa tiketi ya CHADEMA, Godwin Ole Mollel ambaye alihama chama hicho...

Alichokisema Kaseja baada ya Kagera kuchapwa goli 2-0 na Simba

10m ago

Kipa namba moja wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amesema wamefanya makosa ambayo yamewagharimu dhidi ya S...

Ushauri wa Dee 7 kwa Wasanii wanaotaka kufanya vizuri kwenye Mauzo ya Album

12m ago

Moja kati ya mijadala mikubwa iliyochukua nafasi jana kwenye kipindi cha XXL cha Clouds fm ni pamoja ...

Picha: Kardashian wajitupia Calvin Klein huku Kylie Jenner akiwa ndani

12m ago

Baada ya tetesi za muda mrefu kuwa Kylie Jenner, ni mjamzito na huwenda ndiyo mbeba mimba wa Kim Kard...

KNH sasa yaongeza walinzi

16m ago

Bodi ya Hospitali Kuu ya Kenyatta imeidhinisha kuwepo kwa walinzi zaidi wa kibinafsi, kufuatia madai ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek