WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA

By Issa Michuzi, 6w ago

Na Emmanuel GhulaWADAU wa Takwimu nchini wamekutana ili kujadili upatikanaji wa Takwimu za msingi na uzalishaji wa takwimu na mapungufu yaliyopo katika kupima na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kitaifa, Kikanda na Kimataifa.Akizungumza wakati akifungua warsha ya siku mbili ya wadau hao, Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango, Wizara ya Fedha na Mipango Mhandisi Happiness Mgalula amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Maendeleo pamoja na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  wameandaa warsha hiyo ili kujadili namna bora ya upatikanaji wa takwimu zitak...

ZINAZOENDANA

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumanne

Bonyeza Links zifuatazo:Job Opportunity at Tanzania Health Summit, Event Marketing ExecutiveJob Oppor...

Watalii Milioni 3 watembelea Afrika 2017

10h ago

Na Jumia Travel TanzaniaIdadi ya watalii duniani imekuwa kwa kiwango cha 7% mwaka 2017 na kufikia ida...

Balozi Seif atoa miezi mitatu kufanyiwa matengenezo Ukumbi wa Mikutano wa Salama.

11h ago

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  aliyevaa Miwani akifanya ziara ya kulikagu...

kongamano la mabaharia

2d ago

Waziri wa Habari ,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe. Rashid Ali Juma kwa niaba ya Makamu wa Pili wa Rai...

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumamosi

Bonyeza Links zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply:Jobs at Mama na Mtoto Project, Agriteam Health Tanzan...

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AZITAKA TAASISI MBALIMBALI KUSAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amezitaka taasisi m...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Wawekezaji Kutoka China.

4d ago

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Ji...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek