Tujenge Uzalendo Kupitia Uchumi

By Jamhuri Media, 19w ago

Wiki iliyopita nchi yetu imesherehekea miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara). Wakati tunapambana kupata uhuru, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyeongoza harakati hizo, alisema nchi yetu ilikuwa inapambana na maadui watatu; ujinga, maradhi na umaskini. Na alisema ili nchi ipate mafanikio inahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Ukipima kigezo cha siasa za ...

ZINAZOENDANA

NIMERIDHISHWA NA MAADHALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO-MAJALIWA

2h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa ...

Fatma Karume Asema Hana Mpango wa Kuingia kwenye Siasa

Mwanasheria maarufu nchini ambaye kwa sasa ndiye rais wa Tanganyika Law Society (TLS), Bi. Fatma Karu...

VIDEO..NIMERIDHISHWA NA MAADHALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO-MAJALIWA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya...

Fatma Karume afunguka hataki siasa

4h ago

Rais mpya wa Tanganyika Law Society (TLS), Bi. Fatma Karume, amesema kuwa anapenda kuwa huru, hivyo h...

Fatuma Karume: Sina Mpango wa Kuingia Kwenye Siasa

Mwanasheria maarufu nchini ambaye kwa sasa ndiye rais wa Tanganyika Law Society (TLS), Bi. ...

Hoja ya kuidhibiti TLS yaibua mjadala

6h ago

Hatua ya Rais John Magufuli kutaka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kudhibitiwa, imeibua mjad...

Makonda Agharamia Mazishi ya Agness Masogange

Imethibitika kuwa moja ya wadau waliosaidia kufanikisha maombelezo ya kifo cha mrembo Agness Masogang...

Tanzania Na Israel Kuagalia Namna Ya Kushirikiana Katika Masuala Ya Utoaji Haki

10h ago

Tanzania na Israel zimekubaliana kwamba ,  mataifa hayo mawili yana mengi ya kujifunza baina&nbs...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek