SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR.

By Zanzi News, 6w ago

 Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe,Mohammed Abdalla Salum katikati akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Ofisi mpya ya Shirika la Ndege la ACTL Air Tanzania Kijangwani Posta mjini Unguja.kushoto yake ni Naibu Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe,Chumu Kombo Khamis na Kulia ni -Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ndege la ACTL Ar Tanzania Eng Emanuel Koroso.Katibu Mtendaji Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dk,Lila Vuai Lila kushoto na Kaimu Mkurugenzi Mkuu  wa Shirika la Ndege la ACTL Air Tanzania Albinus Manumbu wakitiliana sain...

ZINAZOENDANA

CUF Yajigamba Kumwangusha Mtulia Ubunge Kinondoni

19m ago

Mkurugenzi wa Habari Uenezi (CUF),Abdul Kambaya amesema kuwa watashinda Jimbo la kinondoni kwasababu ...

Kamati ya Bunge yatoa agizo mifuko ya plastiki Ipigwe Marufuku

1h ago

Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeiagiza Serikali kupiga marufuku matumizi ya mifu...

Dk Ali Mohamed Shein akutana na kufanya mazungumzo na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Makhtoum

2h ago

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akutana na kufanya mazungumzo na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Ra...

HOTELI BORA ZAIDI DUNIANI ZIKO CAMBODIA, ZANZIBAR

Viroth's Hotel ya Cambodia inavyoonekana kwa mbele. Taswira nyingine ya hoteli hiyo. Mandhari ...

Ninakwenda bungeni kulia - Mgombea ubunge kupitia CHADEMA

2h ago

Mgombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya CHADEMA, Salum Mwalimu amesema kuwa akifan...

Dr Shein atakutana na Wazanzibar waliopo Emirates?

3h ago

Kawaida ya viongozi wa nchi wanapotembelea nchi nyengine kwa ajili ya kujenga urafiki, umoja, na mash...

Rado Amtolea Uvivu Ray Kigosi na Monalisa

Ray na Monalisa wamepata nomination ya tuzo nchi Ghana , lakini baada ya kupostiwa kwa post hiyo kwa ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek