Alikiba, Diamond, Aslay, Vanessa Mdee watajwa kuwania tuzo za Soundcity MVP 2017 Nigeria

By Bongo 5, 18w ago

Kituo cha Runinga cha Soundcity TV kimetangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za SoundCity MVP mwaka 2017 ambapo Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii 5. Wasanii hao ni Alikiba, Diamond Platnumz, Aslay, Vanessa Mdee na kundi la muziki la Navy Kenzo ambao hao wamechaguliwa kwenye Kipengele kimoja cha Best Group or Duo ambapo watachuana na makundi mengine kama […]

ZINAZOENDANA

Masogange awakutanisha Kiba, Diamond

3m ago

Wasanii wa Bongo Freva, Ali Kiba na Naseeb Abdul 'Diamond' wamekutana na wamesalimiana kwa kupeana mi...

Diamond Platnumz na Ali Kiba Wapeana Mikono...Bifu Limekwisha?

31m ago

MATUKIO KWA PICHA :@officialalikiba na @diamondplatnumz wakipeana mikono katika Tukio la Kuaga mwili ...

Alikiba awakanya waigizaji na wasanii wa muziki, Awataka wakumbuke jambo hili muhimu (+video)

37m ago

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amewaasa wasanii wenzake wa muziki na Waigizaji wa filamu ku...

Diamond na Ali Kiba Walivyokutana Kumuaga Masogange

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ni miongoni mwa wasanii waliofika ...

Msiba wa Masogange Wawakutanisha Diamond, Ali Kiba

39m ago

Wasanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba wamekutana katika msiba wa Agn...

Diamond na Alikiba wazua gumzo kwenye tukio la kuuaga mwili wa Masogange (+video)

2h ago

Wasanii wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Alikiba na Diamond Platnumz leo Aprili 22, ...

VIDEO-Kiba, Mond wasalimiana msibani kwa Masogange

2h ago

Ni wasanii wakubwa wa muziki wa kizazi kipya, Diamond na Ali Kiba walipohudhuria msiba wa Masogange.

Mimi Mars Afunguka Kuhusu Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee 'Mimi Mars', amefu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek