Alikiba, Diamond Watajwa Kuwania Tuzo za Soundcity MVP 2017 Nigeria

By Udaku Specially, 5w ago

Kituo cha Runinga cha Soundcity TV kimetangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za SoundCity MVP mwaka 2017 ambapo Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii 5.Wasanii hao ni Alikiba, Diamond Platnumz, Aslay, Vanessa Mdee na kundi la muziki la Navy Kenzo ambao hao wamechaguliwa kwenye Kipengele kimoja cha Best Group or Duo ambapo watachuana na makundi mengine kama Sauti Sol, Mi Casa n.k .Alikiba ambaye mwaka jana 2016 alichukua tuzo hizo kupitia kipengele cha Wimbo bora wa Mwaka ‘AJE’. Mwaka huu Alikiba ametajwa kwenye vipengele kimoja cha wimbo bora wa mwaka ‘Song of The Year’ kupitia wimb...

ZINAZOENDANA

Babu Seya na Papi Kocha Kuwaanda Mashabiki Kwa Ujio Mpya.

Wasanii wa muziki wa dansi baba na mtoto wake wameanza kuwandaa mashabiki wao kukaa mkao wa kula kwa ...

Mr.blue Hana Beef na Diamond Platinumz.

14m ago

Msanii wa  muziki nguli Bongo Mr.Blue amefunguka na kukanusha maneno yanayosambaa katika mitandoa ...

Mwana FA awataka Wasanii kufuata nyayo za Darassa

16m ago

Katika hali ya kawaida kusota katika mafanikio ni jambo la kawaida, na mara nyingi kuna wakati flani ...

Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo January 22 2018 Udaku, Michezo na Hardnews

2h ago

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania January 22 2018 kuanzia ya, U...

Chin Bees, Mganda Bifu Zito!

  MSANII wa Bongo Fleva, Chin Bees amejikuta akiingia kwenye bifu zito na msanii wa Muziki wa Ug...

Babu Seya na mwanae, Papii Kocha waanza safari mpya...!

8h ago

  MUIMBAJI nguli wa muziki wa dance, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya pamoja na mwanae, Papii...

PICHA: Diamond Platnumz akutana na wasanii wa Rwanda

8h ago

Star kutokea Bongoflevani Diamond Platnumz mwishoni mwa weekend hii alikuwa nchini Rwanda ambapo alie...

Tamasha la Busara kuenzi sanaa na utamaduni wa Mwafrika

8h ago

Na Mwandishi Wetu.Watanzania wametakiwa kuenzi sanaa na utamaduni waliona kwa ajili ya kizazi kijacho...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek