Nasi -x- Nemy - LIPULI (Official Music Video)

By DJ Choka Music, 2w ago

Kidogo tulichonacho tumeamua kufanya ili kusaport team yetu ya Mkoani kwetu tunapotokea naimani ata waliopo nje ya Mkoa wetu na wana mapenzi na lipuli naimani tutazidi kuusambaza uu wimbo ili tuendelee kuitangaza team yetu nyumbani kwanza  Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

ZINAZOENDANA

Ushindi waipa mzuka Mtibwa

5d ago

MTIBWA Sugar mzuka umepanda, hii ni baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli na kupanda had...

Mtibwa yaiporomosha Yanga

6d ago

Mtibwa Sugar imeiporomosha Yanga hadi nafasi ya tano baada ya kuichapa Lipuli kwa bao 1-0, mchezo wa ...

Mtibwa yazitibulia Yanga, Singida

6d ago

MTIBWA Sugar kweli ubingwa inautaka msimu huu baada ya jana Jumamosi kushinda ugenini bao 1-0 dhidi y...

Mtibwa yaipangua Yanga yazipigia hodi Simba, Azam

7d ago

Klabu ya mtibwa sugar imepata ushindi wake wa sita kwenye ligi kuu tanzania bara kufuatia kuifunga li...

Kilichowakumba Matola na Amri Said mbona utacheka!

7d ago

Lipuli inacheza na Mtibwa Sugar kesho Jumamosi kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Samora.

MATOLA ATIMKA LIPULI FC

1w ago

NA MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM KOCHA wa msaidizi wa Lipuli FC, Seleman Matola,ameikacha timu hiyo na...

Kilichowakumba Matola na Amri Said mbona utacheza!

1w ago

Lipuli inacheza na Mtibwa Sugar kesho Jumamosi kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Samora.

Lipuli yakomaa kwa Matola

1w ago

Klabu hiyo ya mkoani Iringa kwa sasa ipo nafasi ya nane katika msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek