Bomba la gesi kutoka Mtwara lawaka moto

By Mpekuzi Huru, 2w ago

Moto  mkubwa wa gesi umelipuka na kuteketeza nyumba eneo la Hospitali ya Buguruni Mnyamani jijini Dar es Salaam jana jioni  kutokana na Bomba la gesi kutoka Songo Songo, Lindi/Mtwara kwenda Ubungo, Dar, kupasuka na kusababisha moto mkubwa uliozua taharuki kwa wakazi na wafanyabiashara wanaozunguka eneo la Buguruni Mnyamani.Taarifa za awali za zilisema bomba hilo lililipuka baada ya mafundi wa D...

ZINAZOENDANA

DAWASCO WAANZA UKARABATI WA BOMBA VINGUNGUTI

Siku moja baada ya ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMI...

MGALU AMEIAGIZA TANESCO PWANI KUHAKIKI NGUZO 120 ZILIZOTELEKEZWA CHINI MIAKA MITATU HUKO KIJIJI CHA VISEZI NA KONGO

Naibu Waziri Wa Nishati ,Subira Mgalu mwenye kitambaa chekundu kichwani ,akiwa ameambatana na mbunge ...

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA DAWASA/DAWASCO KWA KAZI NZURI YA KUSIMAMIA MIRADI YA MAJI

3d ago

    NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, RUVUKAMATI ya Bunge ya Maji, Mifugo na Kilimo, imeipongeza ...

DAWASCO YAGHARAMIA MATIBABU YA WALIOJERUHIWA KWA MOTO BUGURUNI

5d ago

Na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii .SHIRIKA la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam(DAWASCO), limeam...

DAWASCO kuwatibu na kuwalipa fidia wanachi wa Buguruni waliothirika na moto wa gesi

6d ago

Mamlaka ya maji safi na maji taka jiiji Dar Es Salaam imesema imepokea majeruhi watano waliounguzwa n...

DAWASCO Kuwatibu, Kuwalipa Fidia Waathirika wa Moto wa Gesi Buguruni

MAMLAKA ya maji safi na maji taka jiiji Dar Es Salaam imesema imepokea majeruhi watano waliounguzwa n...

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendandaji TANESCO

6d ago

The post Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendandaji TANESCO appeared first on Zanzibar24.

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Amteua Dkt. Mwinuka Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Januari, 2018 ame...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek