Bomba la Gesi Kutoka Mtwara Lawaka Moto...Lasababisha Taaruki Kubwa Buguruni

By Udaku Specially, 15w ago

Moto  mkubwa wa gesi umelipuka na kuteketeza nyumba eneo la Hospitali ya Buguruni Mnyamani jijini Dar es Salaam jana jioni  kutokana na Bomba la gesi kutoka Songo Songo, Lindi/Mtwara kwenda Ubungo, Dar, kupasuka na kusababisha moto mkubwa uliozua taharuki kwa wakazi na wafanyabiashara wanaozunguka eneo la Buguruni Mnyamani.Taarifa za awali za zilisema bomba hilo lililipuka baada ya mafundi wa Dawasco waliokuwa wakichimba kwa ajili ya kupitisha mabomba yao ya maji, kulitoboa bomba hilo la gesi kimakosa.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum jijini Da...

ZINAZOENDANA

Mapato Tanesco yapaa hadi bilioni 32/-

13h ago

KUANZIA Julai mwaka jana hadi Machi mwaka huu, mapato ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) yameonge...

Mapato Tanesco yapaa hadi bilioni 32/-

21h ago

KUANZIA Julai mwaka jana hadi Machi mwaka huu, mapato ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) yameonge...

Tanesco Wapewa Siku 30 na Serikali Kufanya Jambo Hili

Serikali ya awamu tano kupitia Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa mwezi mmoja kwa mamenej...

Waziri Aipa Siku 30 TANESCO

3d ago

Serikali ya awamu tano kupitia Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa mwezi mmoja kwa mamenej...

Mfanyakazi Tanesco afa kwa nyaya za umeme

6d ago

Mfanyakazi wa Shirika la Umeme (Tanesco) Kibaha, Chande Kipae, amefariki dunia baada ya kunaswa na um...

Ikulu yaiadhibu RAS Iringa kwa kuwachapa magoli 49-8

6d ago

 Kipa wa timu ya Uchukuzi, Willy Barton jana akidaka mpira katika mazoezi ya timu hiyo yanayofan...

Mfanyakazi Tanesco afa kwa nyaya za umeme

6d ago

Alikuwa akijaribu kuziondoa nyaya hizo zilizokatika na kuingia kwenye maji

MVUA DAR YAKATA MAWASILIANO MIKOCHENI, DAWASCO YATOA RAI

1w ago

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMVUA zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam zimeendele...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek