Watuhumiwa wa Uchawi wauawa kwa kupigwa Mawe

By Edwin Moshi, 15w ago

WANAUME wawili waliotuhumiwa kushiriki uchawi katika kaunti ndogo ya Igambang'ombe, kaunti ya Tharaka-Nithi kenya, Jumatano waliuawa kwa kupigwa mawe na umati wenye ghadhabuWawili hao, wenye umri wa miaka 55 na 60, walifurushwa kutoka nyumbani na kupelekwa katika soko la Kajuki ambapo waliuawa hadharani.OCPD wa Chuka Igambang'ombe Bw Barasa Sayia aliambia vyombo vya habari kuwa, maafisa wa polisi waliarifiwa kuhusu kisa hicho lakini walipofika katika soko hilo, wanaume hao walikuwa washafariki kutokana na majeraha mabaya mwilini.Mkuu huyo wa polisi alisema polisi wameanzisha uchu...

ZINAZOENDANA

TANZANIA NA ISRAEL KUANGALIA NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA SHERIA

2m ago

Na  Mwandishi MaalumTanzania na Israel zimekubaliana kwamba ,  mataifa hayo mawili yana men...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

10m ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi m...

Siasa za hofu na hofu za siasa

56m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Ni Singida United Vs Mtibwa Sugar fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) 

1h ago

Klabu ya Singida United imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho...

SINGIDA UNITED YATINGA FAINALI FA CUP,SASA USO KWA USO NA MTIBWA SUGAR JIJINI ARUSHA JUNI 2,2018

KLABU ya Singida United imeungana na Mtibwa Sugar kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kui...

Tangazo la Ajira Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za mitaa na Idara Maalum SMZ

1h ago

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZTume...

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO UWANJANI

Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek