Madiwani waivamia shule na kumfukuza Mwalimu Mkuu na kuifunga Ofisi yake

By Edwin Moshi, 15w ago

KIZAAZAA kilitokea katika shule ya sekondari ya wavulana ya Friends Kamusinga kaunti ya Bungoma, madiwani walipowaongoza wakazi kuivamia na kumfukuza mwalimu mkuu mpya aliyeanza kazi wiki iliyopita na kufunga ofisi yakeMadiwani watatu walimfurusha Bw Alex Kariuki Maina kutoka shule hiyo iliyoko eneobunge la Kimilili na kuitaka Tume ya Huduma ya Walimu (TSC) kumtuma kufanya kazi kwingine. Shughuli za masomo na usajili wa wanafunzi wa kidato cha kwanza zilisimamishwa kwa muda viongozi hao walipovamia shule hiyo wakiandamana na wakazi.Wakiongozwa na diwani wa wadi ya Kibingei Bw Aggrey Mulongo, d...

ZINAZOENDANA

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni

2h ago

 KATIBU MKUU Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akizindua zoezi la upanda...

Sababu ya serikali kupunguza bajeti ya Wizara ya Afya Hizi Hapa

4h ago

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa, kupungua kwa asilimia 19.6 b...

Chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi iliyozinduliwa mkoani Tabora

Baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika maandamano ya kuunga mkono ...

Wanafunzi 264 wakatishwa masomo mkoani Geita, Baada ya daraja kusombwa na maji,wengine wanusurika kifo

9h ago

Wanafunzi watatu kati ya 264,wanaoishi katika kitongoji cha Nyamakara na kusomea katika shule ya msin...

UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA

9h ago

 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akizindua zoezi la upanda...

Serikali yaeleza sababu ya serikali kupunguza bajeti ya Wizara ya Afya

12h ago

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa, kupungua kwa asilimia 19.6 b...

WATAKA SHERIA YA WATIA MIMBA WANAFUNZI IONGEZWE MENO CALVIN GWABARA

13h ago

Na: Amina Hezron, MorogoroWito umetolewa kwa serikali kuhakikisha wanawadhibiti na kuwachukulia hatu...

WATAKA SHERIA YA WATIA MIMBA WANAFUNZI IONGEZWE MENO

CALVIN GWABARA Na: Amina Hezron,  Morogoro Wito umetolewa kwa serikali kuhakikisha wanawadhibiti n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek