Mtoto wa ajabu azua taharuki Mtwara, Wananchi wakesha wakinywa uji kutii agizo lake

By Edwin Moshi, 1w ago

Wakazi wa maeneo mbalimbali mkoani Mtwara na maeneo jirani wamejikuta wakikesha nje ya nyumba zao usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2018, wakipika na kunywa uji utokanao na unga wa muhogoWananchi hao wamedai kuwa wanatekeleza agizo la mtoto mdogo aliyezaliwa katika kijiji cha Mchichira kilicho kati ya nchi ya Msumbiji na mkoa wa Mtwara na kisha papo hapo kuanza kuzungumza kwa kutoa agizo kwa wananchi wa Mtwara.Imeelezwa kuwa mtoto huyo alisema kuwa mvua ya maajabu yenye sumu itanyesha katika maeneo hayo na ili kujikinga nayo, watu wanapaswa kunywa uji huo kwa Imani kuwa uji huo utazuia kabisa m...

ZINAZOENDANA

Hali ilivyo baada ya Mvua kuvunja Daraja linalounganisha Wilaya za Arusha

5h ago

January 18, 2018 Daraja lililopo Makuyuni linalounganisha Wilaya ya Monduli na Karatu mkoani Arusha l...

Wanaoishi maeneo hatarishi kuhamishwa Chemba

10h ago

SERIKALI wilayani Chemba mkoani Dodoma imesema kuwa imepanga kuwahamisha watu wanaoishi maeneo hatari...

MAMA SAMIA AHIMIZA JAMII KUHUSU UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa ziar...

Maamuzi ya DC Chemba baada ya mafuriko kuharibu nyumba (+Video)

11h ago

Baada ya mvua kuharibu nyumba zote za kata ya Mrijo katika Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kusababi...

KWANDIKWA AAGIZA DARAJA LA RUHUHU KUKAMILIKA

12h ago

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, amemtaka mkandarasi anayejenga daraja la Ruhuhu wilayani Nya...

VIDEO: Mvua zaacha maelfu bila makazi Kilosa

13h ago

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha madhara makubwa mkoani Morogor huku wilaya ya Kilosa...

Mvua yakwamisha magari 200 Monduli

15h ago

Magari zaidi 200 yakiwepo ya watalii yaliyokuwa yanaelekea Karatu kwenda Hifadhi ya Ngorongoro na Ser...

Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi wajionea majengo ya skuli yaliyoathirika na mvua

19h ago

 JENGO la Skuli ya Madungu Sekondari Pemba, ambalo lilijengwa kwa msaada wa fedha za Benk ya Dun...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek