Anguko la Simba liliandaliwa, Omog alikosa meno, Djuma haijui klabu

By Shaffih Dauda, 7d ago

Na Baraka Mbolembole KUMUACHA Method Mwanjale na kumsaini Asante Kwasi katika usajili uliopita wa dirisha dogo ni muendelezo wa usajili mbovu wa 'Mr. Kazinyingi' pale Simba SC. Sitaacha kuwaambia ukweli na huu ni ukweli wangu mwingine kuhusu mwelekeo wa klabu hiyo katika miezi hii mitano kabla ya kumalizika kwa msimu. Mwanzoni mwa msimu niliandika makala […]

ZINAZOENDANA

Simba vs Singida Utd: Mechi ya mashambulizi, wachezaji, mfumo kumbeba Hans?

2h ago

Na Baraka Mbolembole KAIMU kocha mkuu wa Simba, Masoud Djuma ameweka wazi timu yake itacheza mchezo w...

Rekodi ya Simba yawapa matumaini mashabiki kutwaa ubingwa

8h ago

Simba inaongoza Ligi Kuu baada ya kujikusanyia pointi 26 huku matokeo ya aina yoyote kwa mechi za leo...

Okwi yupo kamili kuivaa Singida United

9h ago

Okwi ambaye alijiunga na Simba juzi kabla ya kufanya mazoezi jana, anatarajiwa kuonyesha makali yake ...

FINLAND YAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA NISHATI NCHINI

9h ago

Na Veronica Simba - Dodoma.Ujumbe kutoka Kampuni ya Fortum ya Finland umemtembelea Waziri wa N...

'€œSingida United Mmetuletea Kitu Kipya Katika Soka la Bongo'€-Shaffih Dauda

11h ago

Bila shaka kila mtu ni shahidi juu ya picha ya mafanikio waliyoibeba Singida United ndani na nje ya u...

Yanga Yalalamika Simba inabebwa

11h ago

Klabu ya Yanga kupitia kwa Katibu Mkuu wake wamelalamikia kutokuwepo na usawa kwa Simba na yanga kati...

Rekodi zinavyoibeba Yanga mbele ya Mwadui

12h ago

Leo Jumatano Januari 17, 2018 Yanga itakuwa mwenyeji wa Mwadui FC kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania ...

Simba SC yarejea Dar na dawa ya Singida United

13h ago

Kikosi cha Simba leo asubuhi kimeanza safari ya kurejea jijini Dar es Salaam tayari kwa mchezo wake d...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek