Ziara ya Halima Mdee Mkoani Rukwa ilivyokuwa

By Edwin Moshi, 15w ago

ZIARA YA BAWACHA - TAIFASumbawanga, RukwaMwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA - BAWACHA Taifa Mhe. Halima Mdee akiwa ameongozana na Katibu wa BAWACHA Taifa Mhe. Grace Tendega pamoja na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Mhe. Suzani Mgonukulima katika kikao na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Rukwa kilichofanyika leo Jumatano tarehe 10 Januari, 2018 jimboni Sumbawanga ikiwa ni sehemu ya ziara ya baraza hilo yenye lengo la ujenzi na uenezi wa chama ikiwa ni pamoja na kuangalia uhai wa baraza hilo na kutoa mwongozo wa shughuli mbalimbali.Habari - CHADEMAKanda ya Nyasa10 Januari, 2018

ZINAZOENDANA

Siasa za hofu na hofu za siasa

55m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Joseph Selasini aanza kusakamwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utaw...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

1d ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Halima Mdee Afunguka ya Moyoni Kuhusu Ripoti ya CAG

Mbunge wa Jimbo la Kawe (CHADEMA), Halima Mdee ameendeleza hoja kuhusu matumizi ya fedha ambazo hazij...

Hatma ya askari waliokuwa wameshikiliwa kuhusu mauaji ya Akwilina

3d ago

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amelifunga rasmi jalada la kesi ya aliyekuwa mwan...

CHADEMA wamjibu Polepole kuhusu tuhuma za ufisadi wa bilioni 2 na hati chafu (video)

3d ago

Kufuatia tuhuma zilizotolewa na Katibu Mwenezi na Itifaki wa CCM, Humphrey Polepole kuwa CHADEMA ni m...

Chadema: Si Trilioni 1.5 tu Kuna Pesa Kibao Zimepigwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanya mkutano na waandishi wa habari na kuudai kwamb...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek