Mapacha waliozaliwa Rukwa wapewa majina ya Lissu, Mbowe na Halima Mdee

By Edwin Moshi, 15w ago

MAPACHA WATATU WAPEWA MAJINA HALIMA MDEE, MBOWE NA LISSU*Ni Sumbawanga mkoani Rukwa*Uchungu ulimshika baada ya kusikia ujio wa Halima MdeeMwanamke mmoja Martha Alphonce Haule mkazi wa Kata ya Nafulala, Sumbawanga mkoani Rukwa amejifungua watoto mapacha watatu na kuwapatia majina ya Halima Mdee (wa kike) pamoja na Mbowe na Lissu (wakiume wawili).Watoto hao ambao wana mwezi mmoja wamezaliwa kufuatia mwanamke huyo kupata uchungu ghafla baada ya kusikia Mwenyekiti huyo wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA Taifa Mhe. Mdee atazuru Sumbawanga na kutembelea kikundi chao cha Wanawake Tunaweza kilichopo kat...

ZINAZOENDANA

Siasa za hofu na hofu za siasa

56m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Joseph Selasini aanza kusakamwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utaw...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

1d ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Tundu Lissu Amvaa Spika Ndugai Baada ya Kudai Hakufuata Taratibu

1d ago

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Halima Mdee Afunguka ya Moyoni Kuhusu Ripoti ya CAG

Mbunge wa Jimbo la Kawe (CHADEMA), Halima Mdee ameendeleza hoja kuhusu matumizi ya fedha ambazo hazij...

Sakata la Matibabu Lissu Amvaa Spika Ndugai "Bunge Linavunja Sheria Linaendeshwa kwa Chuki na Upendeleo wa Kisiasa"

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Tundu Lissu Amvaa Spika Ndugai Baada ya Kudai Hakufuata Taratibu

2d ago

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek