Anguko la Simba Liliandaliwa, Omog Alikosa Meno, Djuma Haijui Klabu

By Udaku Specially, 10w ago

Na Baraka MbolemboleKUMUACHA Method Mwanjale na kumsaini Asante Kwasi katika usajili uliopita wa dirisha dogo ni muendelezo wa usajili mbovu wa 'Mr. Kazinyingi' pale Simba SC. Sitaacha kuwaambia ukweli na huu ni ukweli wangu mwingine kuhusu mwelekeo wa klabu hiyo katika miezi hii mitano kabla ya kumalizika kwa msimu.Mwanzoni mwa msimu niliandika makala na kusema, Azam FC inaweza kushinda ubingwa wa ligi kuu msimu huu 'ikipenya' katikati ya mabingwa mara tatu mfululizo na watetezi wa taji Yanga SC na Simba SC ambayo ndiyo klabu iliyofanya usajili wa gharama kubwa zaidi...

ZINAZOENDANA

Simba SC Yaondoa Watano Kikosi Kitachoivaa Yanga SC

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga ambao awali ulipangwa kuchezwa Aprili 7, mwak...

Faida 5 za Kuendesha Baiskeli

12m ago

Najua fika utakuwa umeshangazwa na kichwa ya mada hapo juu, ya kwamba hivi ni kweli kuna faida yeyote...

Mbinu Zitazokusaidia Kufikia Malengo ya Mafanikio

12m ago

Umbali uliopo kati ya malengo yako na mafanikio ni mrefu sana, na una vikwazo vingi sana, nafahamu fi...

Jifunze Jinsi ya Kuwa Mzungumzaji Bora

12m ago

Wapo baadhi ya wasomaji wangu walikuwa wakiniuliza "eti nifanye nini ili kuwa mzungumzaji mzuri mbele...

Kilimanjaro waomba kituo Ligi ya Mabingwa wa Mikoa

4h ago

 Hata hivyo bingwa wa Kilimanjaro timu ya Uzunguni FC imekatiwa rufaa na timu ya Forest FC kwa mad...

Mziki Mzima Yanga SC Warejea Kuivaa Simba

KIUNGO wa Yanga, Thabani Kamusoko raia wa Zimbabwe amefunguka kuwa anafurahia baada ya kupona kwa jer...

Caf Yatangaza Utaratibu Wa Kuchezesha Droo Klabu Bingwa, Shirikisho leo

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) leo litachezesha droo ya makundi ya timu zilizofuzu kucheza Ligi y...

CAF YAWAZUIA CHIRWA,TSHISHIMBI NA MAKAPU MECHI YA KWANZA YA SHIRIKISHO

  Wachezaji watatu wa timu ya soka ya Yanga,Obrey Chirwa,Papy Tshishimbi na Said Makapu watakoseka...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek