Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Agustino Mrema apigwa Chini

By Edwin Moshi, 15w ago

Baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini, Mh. Agustino Lyatonga Mrema kusema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi TCRA  kwa watu waliomzushia taarifa za kifo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imemuelekeza kiongozi huyo  kuanzia kituo cha polisi kabla ya kufika kwenye ngazi hiyo.Akizungumza baada ya Mrema kuwasilisha malalamiko yake katika Mamlaka hiyo Naibu Mkurugenzi - Huduma za Bidhaa na Mawasiliano  Bw. Tadayo Joseph amesema kuwa Kabla ya Mrema kufika katika mamlaka hiyo alitakiwa kuanzia ndani ya jeshi la polisi kwani malalamiko hayo yanahusu kosa la ji...

ZINAZOENDANA

TCRA YASISITIZA MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA MITANDO NCHINI

Katika kupambana na makosa ya uhalifu wa kimtandao nchini TCRA kwa kushirikiana na kampuni ya Kingdom...

TCRA imewapa wamiliki wa blogu Tanzania wiki mbili kujisajili

8h ago

Hatua hii imekuja ili kudhibiti maudhui mitandaoni ikiwa ni matakwa ya sheria mpya ambayo ilionekana ...

TCRA yashauri jinsi ya kusuluhisha changamoto kesi za mitandaoni

10h ago

Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja changamtoto tano za uendeshaji kesi zinazo...

Mbeya City Yakataa Kufungwa Kwao Yagawana Point na Yanga

12h ago

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga, wamebanwa mbavu ugenini na Mbeya...

TCRA yataja changamoto tano uendeshaji kesi makosa ya mtandao

13h ago

 Wakati Serikali ikielekeza nguvu kukabiliana na makosa ya mtandao, Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasil...

TCRA kuibana mitandao ya kijamii

15h ago

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeviagiza vyombo vya habari nchini ikiwamo mitandao ya kijam...

Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi, watuhumiwa waachiwa Huru

1d ago

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo ...

Naibu Waziri: Jeshi la Polisi Halina Muda wa Kulinda Maandamano

1d ago

BUNGE limeelezwa kuwa Jeshi la Polisi halina muda wa kulinda taasisi au chombo chochote kitakachotaka...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek