BAVICHA: Unampongeza vipi Magufuli wakati serikali yake imezuia mikutano ya vyama vya siasa

By Edwin Moshi, 15w ago

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limesema limeshtushwa na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho, Edward Lowassa kumpongeza Rais John Magufuli.Akizungumza leo Alhamisi Januari 11, Katibu wa Bavicha, Julius Mwita amehoji Lowassa anapata wapi ujasiri wa kumpongeza Rais wakati nchi inakabiliwa na matukio mengi ya uvunjaji wa haki za binadamu."Unampongezaje Magufuli wakati serikali yake bado haijatoa tamko lolote tangu Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu alivyopigwa risasi," amesema."Unampongeza vipi Magufuli wakati serikali yake imezuia mikutano ya vyama vya siasa."Mwita amesema kitendo cha Low...

ZINAZOENDANA

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

10m ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi m...

Siasa za hofu na hofu za siasa

56m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Tangazo la Ajira Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za mitaa na Idara Maalum SMZ

1h ago

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZTume...

Rais Magufuli Aitaka Bodi ya NMB kuangalia Upya Gawiwo Linalotolewa kwa Serikali

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Bodi ya National Mi...

Video: Rais Magufuli awataka viongozi wastaafu wajifunze hili kutoka kwa Pinda

2h ago

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka baadhi ya viongozi kujif...

Fatuma Karume - asema TLS hawezi kudhibitiwa

2h ago

Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume Chanzo: Jamhuri Media ‘Online TV...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek