BAVICHA wadai Katibu wa UVCCM Ni Kichaa!

By Edwin Moshi, 15w ago

Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Julius Mwita amefunguka na kusema kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka huenda ana matatizo ya akiliMwita amesema hayo leo Januari 11, 2018 katika Mkutano na waandishi wa habari wakati akijibu tuhuma alizotoa kiongozi huyo wa UVCCM dhidi ya Tundu Lissu ambapo alisema kuwa Tundu Lissu ni muongo na hapaswi kuaminiwa kwani atafuta tu umaarufu. Kufuatia kauli hiyo ya Shaka ndipo hapo viongozi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA walipoaamua kujitokeza na kuzungumzia juu ...

ZINAZOENDANA

Siasa za hofu na hofu za siasa

55m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Fatuma Karume - asema TLS hawezi kudhibitiwa

2h ago

Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume Chanzo: Jamhuri Media ‘Online TV...

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI??

5h ago

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI?? Hafidh Ally Katika ki...

Utabiri hali ya upinzani 2020

11h ago

Kuna madai kuwa Tanzania itaingia katika Uchaguzi Mkuu ujao ikiwa na ushindani dhaifu wa upinzani dhi...

UVCCM YACHAMBUA UTENDAJI WA DK. SHEIN

11h ago

Na Mwandishi Wetu-Zanzibar UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umechambua utendaji kazi w...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Joseph Selasini aanza kusakamwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utaw...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

1d ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek