Diwani wa Kata ya Namichiga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilayani Ruangwa mkoani Lindi Bwana, Mikidadi Ibadi Mbute, amejiuzulu nafasi yake na kutangaza kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na kasi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli.Pia Bakari Hamisi Mpanya maarufu kama Selenge aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nachingwea, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), amejiunga na CCM na kusema ameridhishwa na kasi ya mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi m...
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZTume...
Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Bodi ya National Mi...
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar  ...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka baadhi ya viongozi kujif...
Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume Chanzo: Jamhuri Media ‘Online TV...
Serikali imezihimiza taasisi za fedha nchini, kuongeza wanachama na wateja wao hasa katika maeneo ya ...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemtaka rais wa Marekani Donald Trump kutojitoa kwenye mkataba wa n...