TANESCO Yatoa Siku Nne (4) Kwa Wadaiwa Sugu Wa Bili Za Umeme Wawe Wamelipa, Vinginevyo Huduma Zinasitishwa

By Mpekuzi Huru, 2w ago

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa muda wa siku nne (4) kuanzia Januari 12, 2018 hadi siku ya Jumatatu Januari 15, 2018 kwa wadaiwa sugu wawe wamelipa madeni yao.Baada ya muda huo kuisha Shirika litasitisha Huduma ya umeme dhidi ya Wateja watakaoshindwa kulipa madeni ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua zingine za kisheria.Ofisi za TANESCO zitakuwa wazi...

ZINAZOENDANA

MGALU AMEIAGIZA TANESCO PWANI KUHAKIKI NGUZO 120 ZILIZOTELEKEZWA CHINI MIAKA MITATU HUKO KIJIJI CHA VISEZI NA KONGO

Naibu Waziri Wa Nishati ,Subira Mgalu mwenye kitambaa chekundu kichwani ,akiwa ameambatana na mbunge ...

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendandaji TANESCO

6d ago

The post Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendandaji TANESCO appeared first on Zanzibar24.

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Amteua Dkt. Mwinuka Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Januari, 2018 ame...

shule ya Lupalilo Sekondari yakosa umeme zaidi ya mwezi mmoja sasa

6d ago

Shule ya sekondari ya Lupalilo inakabiliwa na ukosefu wa nishati ya umeme kwa zaidi ya mwezi mmoja...

Uteuzi mwingine wa Rais Magufuli kwenda TANESCO

6d ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mk...

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

6d ago

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umem...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek